Kaka umenikumbusha mbali... Nilikuwa siwakosi pale kijiji cha makumbusho kijitonyama na silent inn mwenge. Never miss... Ilikuwa burudani sana; umenikumbusha kina Small wangamba, alwatan minyugu, God, pili, na wengine wengi. Kwa kweli naimiss sana burudani hii.