Huyu msanii alienda wapi?
Nyimbo zake zilikuwa kali sana "Twende we mchumba twende tukalicheze ngoma"
Yuko wapi
DaaahDullayo,
Ana hits kama,
Twende na mimi,
Mida ya kazi na nyingine kibao,
Pombe na unga vilimpeleka vibaya kiasi cha kupotea kwenye ramani ya muziki,hadi kufikia kushindia mihogo ya miatano.
Mara ya mwisho nilimuona Tabata kimanga akiwa rafu na aliyekata tamaa ,maisha ya wasanii ya siri nzito sana