SUNGURA-MJANJA
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 200
- 33
Bado anaugulia machungu ya kuiharibu cv yake kizembe akidhani anaisadia ccm kumbe mtego wa kummaliza kwa kusimamia undwaji katiba feki na ya aibu.
Sasa hivi anatembea na aibu juu ya mwili wake, kachafuka na kapoteza ujasili wa majivuno ya speed & standard
That's how they do, use u, finish u... and damp you like a used condom
He went to far had kutukana viongozi wa dini, alimtukana Mungu laaana ina mla. Kisa nini katiba feki iliyojaa unafiki na ubinafis na uroho wa madaraka
Lazima Sitta akae kimya kwa sasa, kabla hajafa.Tangu kipindi cha mchakato wa katiba mpya ulipoisha pale Bungeni Dodoma mhe.Samwe Sitta amekuwa kimya sana yuko wapi?.Iko wapi ile nguvu aliyoionyesha mh huyu pale Bungeni kwenye ule mchakato wa katiba mpya uliozaa Katiba FAKE (pendekezwa)?
alijizolea heshima, ch ajabu aliipiga mateke.
6 ni shetwani mkuu, apoteleee mbali kwa faida ya taifa hili