Hutu hana zuri haya moja alilolifanya kwa wanasegerea...Raha ya siku moja inasahaulisha machungu ya muda mrefu, kosa la mara moja linachafua mazuri mengi yaliyotangulia. Tafakari chukua hatua
Daraja la kinyerezi ni Makongoro Mahanga, na lami ya Kinyerezi to malamba mawili ni Makongoro Mahanga pia. Lami ya Jet mpaka Lumo ni Makongoro pia. Huyu Mrembo kulimfaa kwenye madhindano ya Anko Lundenga tu.Hutu hana zuri haya moja alilolifanya kwa wanasegerea...
Aiseee kama yupo uholanzi wakati huku wananchi wake wanateseka
Nashidwa hata nizungumze kitu gani kwa sababu kipindi cha kampeni za nyumba kwa nyumba, walifanya mikutano ya hadhara,
Akatoa ushawishi watu wampigie kura na kumchaguaaaa. Na watu wamemchagua lakini kwa yanayotokea jimboni sijui kama ana taarifa au laaa
MKUU NAOMBA NIKUKUMBUSHE KITU MAKONGORO MAHANGA HAKUWAHI KUONGOZA MAJIMBO MAWILI...... .Siyo sawa hata kidogo, na ikumbukwe Makongoro alikuwa anaongoza majimbo mawili kwa pamoja kabla hayajagawanywa yaani jimbo la Ukonga na jimbo la Segerea, kuna kuna wabunge wawili majimbo hayo na wote wawili ni bure kabisa zero.
Lakini Makongoro alikuwa mbunge wa majimbo hayo mawili wakati yakiwa jimbo moja na ufanisi angalau ulikuwepo, siasa za chuki zinatupotezea watu ambao kimsingi walitufaa, na chuki hizi huanzia kwenye vyama vyao, kwani huyu Bonna Karuwa aliweza kumzunguka Makongoro huko ccm na kumfitinisha vya kutosha. Lakini watu wenye akili timamu ukweli tunaujuwa.
Kuna kile kimwanamke cha Chadema ambacho kilisababisha Mtatiro akose Ubunge najuwa anataka kuja kugombea tena wakati yeye alivuruga na Chadema wakamzawadia ubunge wa viti maalum, namuonya mapema afute mawazo kwamba ati 2020 tunaweza kumpa ubunge wa jimbo, pesa zake anazopata sasa hivi aweke akiba ajikite kwenye ujasiriamali.
Machadema wenzake mnaosoma hapa mumueleze mapema yule dada yenu Anatropia hajui hasira tulizonazo na kama hamuamini mteuweni tena kugombea halafu sisi tutawaonesha namna ya kufanya maamuzi.
Hivi unajuwa kusoma na kuelewa lakini? Mbunge mmoja anawezaje kuongoza majimbo mawili?MKUU NAOMBA NIKUKUMBUSHE KITU MAKONGORO MAHANGA HAKUWAHI KUONGOZA MAJIMBO MAWILI...... .
ILA ALIKUWA MBUNGE WA UKONGA KWANZA BADAE LIKAGAWANYWA NA KUWA SEGEREA NA UKONGA.. ......
MWAKA WAKATI ANAPATA UBUNGE KWA WALE WENYE KUMBUKUMBU NZULI.... .....
JIMBO LA SEGEREA LILIKUWA NA BARABARA MOJA YA LAMI YA KUTOKA GONGO LA MBOTO HADI POSTA,
ALIVOINGIA ALIPIGANA AKAJENGA BARABARA YA KUTOKA KINYEREZI MAJUMBASITA, SEGEREA MAJUMBASITA,
SEGEREA HADI MANDELA ROAD,
HUKO KIWALANI HADI KIGIRAGIRA,
VINGUNGUTI HADI BOM BOM KIJIWE SAMLI,
BUGURUNI MNYAMANI, ......
KWA KIFUPI WATU WALIMCHUKIA MAHANGA LAKINI ANGALAU MAHANGA MKUU SASA HIVI SEGEREA KAMA TUMEPOTEA VILE.. .......
UKWELI NI KWAMBA UPINZANI MTATIRO NA ANATROPIA WALIWANGUSHA SANA WAPIGA KURA WAO KAMA ULIVYOSEMA
..,matatizo mnayo nyie!hivi unaelewa ni nini maana ya MBUNGE ????
Hivi nyinyi watu wa mna matatizo gani huwa mnawazaga nini katika maisha.
Wananchi wanapata taabu, wananchi wanateseka, watu wamekosa sehemu ya kuishi nyinyi mnaona sawa tuu
NI KWELI KABISAA MKUU MBUNGE WETU AMETUTELEKEZA AMESHIDWA HATA KWENDA KUTOA POLE.Huyu dada kwa segerea anachojua Ni kuwa mgeni rasmi kwenye mabonanza na kwenye umoja wa kwenye ma bar tabata,Ni mbunge wa watu wenye pesa hana mpango kabisa na watu masikini...dada bona embu kuna active bhana!!
Hali ya maisha katika jimbo la segerea imebadilika wananchi wanaotokea jimbo hili wanatekea na wamekosa mtetezi wa kuwatetea tunavyozungumza sasa
1.maeneo ya kata ya buguruni, mnyamani, tabata relini, vingunguti, kipawa, uwanja wa ndege hadi tunavyozungumza hadi sasa asilimia kubwa wananchi wanalala njee na wengine wamekosa makazi kutokana na bomoa bomoa iliyotokea hivi majuzi....
2.mpaka sasa kuna watu wameshapoteza maisha kwa ajiri ya presha ya kubomolewa.
Wakati figisu figisu hii ya bomoa bomoa ikitokea jimbo la segerea huko katika jimbo la KINONDONI NA JIMBO LA KIBAMBA .
Mbunge maulidi mtulia wa cuf na john mnyika wa chadema napongeza kwa kuwa walikwenda mahakamani kupinga na kuzuia na kufungua kesi wananchi wao wasibomolewe. .. ....
Wakati mnyika na mtulia wakipambana huku jimbo la segerea mbunge wetu bonna kalua kama yupo kimya hata kuwatembelea wananchi wake kutoa hata pole au kuwapa moyo.
Wana jf maombi yenu juu ya jimbo la segereaa
Anyway kama alifanya hivyoo ni sawa lakini huku wananchi mtaaniKwa taarifa yako wananchi walioathirika na bomoabomoa waliitisha kikao na mbunge akiwa mmoja ya washiriki, wakakubaliana kufungua kesi mahakamani kupinga zoezi na kudai fidia wakachangishana milioni 6 za mwanasheria huku mbunge akichangia laki tano papo hapo na kesi tayari iko mahakamani. Majuzi kwenye bunge la bajeti wakati ikisomwa bajeti ya wizara ya miundombinu aliipigia kelele bomobomoa tena sio ya segerea tu aliwasemea hadi wananchi wa Ukonga na Ilala.
Sasa sijui wewe mnataka mbunge afanye nini zaidi ya hapo?