Bila shuka
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 596
- 297
Mbunge yupo dodoma kwamza maana mmemchagua wenyewe wacha muisome kdg
kabla ya kucomment ivi unafahamu siasa ndani ya jimbo la segerea,Atawashawishi tena mtamchagua
Ivi unajua kilichomsababisha akashinda jimbo la segerea ???Ndio tatizo lakuchagua mbunge mrembo nyio subilini gali kutoka kwa anko lundenga
Ccm ni adui wa nchi hii, hivyo 2020 tupambane kutokomeza hii kansa
hivi unaelewa ni nini maana ya MBUNGE ????...kwani nyie mlishindwa kwenda mahakamani mpaka mbunge?
..kwa akili hizo laleni tu nje!
Wananchi waliobomolewa ni wale wanaotokea maeneo ya.....Me naishi segerea hata sijasikia hayo mabomoa bomoa ni sehemu gani hasa kunakobomolewa isije ikawa wale wanaoishi kwenye kingo za mto msimbazi ambao mvua zikichanganya wanaililia serikali kuwatelekeza,jua likiwaka wakivunjiwa wanalaumu.
Hiyo anafikiri ki Masabuli.hivi unaelewa ni nini maana ya MBUNGE ????
Hivi nyinyi watu wa mna matatizo gani huwa mnawazaga nini katika maisha.
Wananchi wanapata taabu, wananchi wanateseka, watu wamekosa sehemu ya kuishi nyinyi mnaona sawa tuu
Kuzuiya MTU kujenga ,kunaitaji Barua.kubomoa kunaitaji grader chini ya usimamizi wa magwanda. Je inamaana kuvunja ninafuu kulilo kuzuiya?Naomba kujua waliovunjiwa maeneo tajwa wamevunjiwa katika umbali wa kisheria wa barabara Au wamevunjiwa 60-120
Vunjavunja zinaendelea Na bado zitaendelea tunachoombea wale waliopo Kwenye hifadhi ya barabara kisheria wapewe muda waondoke
Akina mnyika wanapigania sheria mupya kandamizi inayotaka Kuongeza maeneo hifadhi katoka 60-120m ili wapewe stahiki zao
Mabadiliko Haya hayana budi kuja
Tunachopigania yazingatie Taratibu Na sheria
Uelewa wa tulio wengi watanzania unaujua vizuri mfanoKuzuiya MTU kujenga ,kunaitaji Barua.kubomoa kunaitaji grader chini ya usimamizi wa magwanda. Je inamaana kuvunja ninafuu kulilo kuzuiya?
Kwa hiyo unataka Mh. Mbunge akazuie maendeleo? Kama kuna mwananchi anaona kaonewa,Mahakama zipo aende akafungue kesi. Hata hao walofungua kesi mahakamani watavunjiwa tu maana Watanzania tulizoea mahumashi. Wacha Brother Magu atujengee reli ya kiwangoHali ya maisha katika jimbo la segerea imebadilika wananchi wanaotokea jimbo hili wanatekea na wamekosa mtetezi wa kuwatetea tunavyozungumza sasa
1.maeneo ya kata ya buguruni, mnyamani, tabata relini, vingunguti, kipawa, uwanja wa ndege hadi tunavyozungumza hadi sasa asilimia kubwa wananchi wanalala njee na wengine wamekosa makazi kutokana na bomoa bomoa iliyotokea hivi majuzi....
2.mpaka sasa kuna watu wameshapoteza maisha kwa ajiri ya presha ya kubomolewa.
Wakati figisu figisu hii ya bomoa bomoa ikitokea jimbo la segerea huko katika jimbo la KINONDONI NA JIMBO LA KIBAMBA .
Mbunge maulidi mtulia wa cuf na john mnyika wa chadema napongeza kwa kuwa walikwenda mahakamani kupinga na kuzuia na kufungua kesi wananchi wao wasibomolewe. .. ....
Wakati mnyika na mtulia wakipambana huku jimbo la segerea mbunge wetu bonna kalua kama yupo kimya hata kuwatembelea wananchi wake kutoa hata pole au kuwapa moyo.
Wana jf maombi yenu juu ya jimbo la segereaa
WAKATI WA KIPINDI CHA MAKONGORO MAHANGA WANANCHI WA KIPAWA NDANI YA JIMBO LA SEGEREA WALIVUNJIWA NYUMBA ZAO KUPISHA MAENDELEO YA UWANJA MPYA MAHANGA AKIWA MBUNGE ALIWAPIGANIA HADI WAKALIPWAA.......Kwa hiyo unataka Mh. Mbunge akazuie maendeleo? Kama kuna mwananchi anaona kaonewa,Mahakama zipo aende akafungue kesi. Hata hao walofungua kesi mahakamani watavunjiwa tu maana Watanzania tulizoea mahumashi. Wacha Brother Magu atujengee reli ya kiwango
Ccm haina hata diwani mmoja jimbo la Segerea, hata kama unampa elimu ya bure huyo boya akae akilitambuwa hili vizuri.kabla ya kucomment ivi unafahamu siasa ndani ya jimbo la segerea,
Ivi unajua ccm ina madiwani wangapi, upinzani wana madiwani wangapi pia ???
Unajua ni nani aliyesababisha mbunge huyu akashinda segerea
Siyo sawa hata kidogo, na ikumbukwe Makongoro alikuwa anaongoza majimbo mawili kwa pamoja kabla hayajagawanywa yaani jimbo la Ukonga na jimbo la Segerea, kuna kuna wabunge wawili majimbo hayo na wote wawili ni bure kabisa zero.WAKATI WA KIPINDI CHA MAKONGORO MAHANGA WANANCHI WA KIPAWA NDANI YA JIMBO LA SEGEREA WALIVUNJIWA NYUMBA ZAO KUPISHA MAENDELEO YA UWANJA MPYA MAHANGA AKIWA MBUNGE ALIWAPIGANIA HADI WAKALIPWAA.......
LAKINI LEO HII HII JIMBO HILO HILO LA LA SEGEREA CHINI YA BONNA WANANCHI WANAVUNJIWA NYUMBA ZAO AMESHIDWA HATA KUWAPIGANIA WATU AU HATA KWENDA KUWAFARIJI WANANCHI
IVI UNAONA HII NI SAWA AU SIO SAWAA