Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,080
- 93,006
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Pepa linakaribia si QT yule acha apige msuli alete vyeti
AiseePepa linakaribia si QT yule acha apige msuli alete vyeti
Kumbe bado mnamkumbuka! huyo ndio kiboko yenu waongo na wafitini.
Makonda piga kazi baba
Nimefika
Unasemaje?
Bashite wako aka Mr zero alikuwa anauliziwa huku umemficha wapi?????
Yuko viunga vya Nairobi anamvizia TL asije akapelekwa nje kabla ya kummaliza!Ni kitambo kimepita bila kumsikia ama kusikia taarifa kumhusu Mkuu wetu wa mkoa Ndugu. Makonda.
Hata leo Mkuu wa nchi wakati anarejea kutokea "Nchini" Zanzibar, amepokelewa na Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa.
Kwa wenye kufahamu alipo Mkuu wetu wa mkoa; nawaomba mnijuze.
Mapendo,
TANMO.
ulikuwa una mjua kupitia mange kimambi.maana bila huyu dada tusinge mjua makonda wa mikoaniNi kitambo kimepita bila kumsikia ama kusikia taarifa kumhusu Mkuu wetu wa mkoa Ndugu. Makonda.
Hata leo Mkuu wa nchi wakati anarejea kutokea "Nchini" Zanzibar, amepokelewa na Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa.
Kwa wenye kufahamu alipo Mkuu wetu wa mkoa; nawaomba mnijuze.
Mapendo,
TANMO.
Inaonekana wewe ulisoma masomo ya QT. Hadi unajua time table zake, kweli uko poa.
Kumsifu mwanaume mwenzio namna hii yataka moyo kweli.
Mtu mmoja cheo kimoja,ye Tayari ni mkuu wa mkoaHivi amepata nafasi yoyote ndani ya ccm ? Sijasikia
Ni kitambo kimepita bila kumsikia ama kusikia taarifa kumhusu Mkuu wetu wa mkoa Ndugu. Makonda.
Hata leo Mkuu wa nchi wakati anarejea kutokea "Nchini" Zanzibar, amepokelewa na Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa.
Kwa wenye kufahamu alipo Mkuu wetu wa mkoa; nawaomba mnijuze.
Mapendo,
TANMO.
Mtu mmoja cheo kimoja,ye Tayari ni mkuu wa mkoa
Kaenda kutafuta uzazi.Desemba hii Mkuu wetu wa Mkoa amekuwa kimya sana.
Wafuatiliaji wa mambo wamenidokeza kuwa hata Sherehe za Uhuru hakuambatana na Mheshimiwa Rais kama ilivyo desturi ya viongozi wetu hawa Wapendwa kupeana sapoti.
U wapi mkuu wangu wa Mkoa Makonda?
Magazeti bado yamemuwekea ban hawamwandiki tu. Yupo sana.Ni kitambo kimepita bila kumsikia ama kusikia taarifa kumhusu Mkuu wetu wa mkoa Ndugu. Makonda.
Hata leo Mkuu wa nchi wakati anarejea kutokea "Nchini" Zanzibar, amepokelewa na Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa.
Kwa wenye kufahamu alipo Mkuu wetu wa mkoa; nawaomba mnijuze.
Mapendo,
TANMO.