Ni kitambo kimepita bila kumsikia ama kusikia taarifa kumhusu Mkuu wetu wa mkoa Ndugu. Makonda.
Hata leo Mkuu wa nchi wakati anarejea kutokea "Nchini" Zanzibar, amepokelewa na Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa.
Kwa wenye kufahamu alipo Mkuu wetu wa mkoa; nawaomba mnijuze.
Mapendo,
TANMO.
Makonda yupo zanzibar anakula bataNi kitambo kimepita bila kumsikia ama kusikia taarifa kumhusu Mkuu wetu wa mkoa Ndugu. Makonda.
Hata leo Mkuu wa nchi wakati anarejea kutokea "Nchini" Zanzibar, amepokelewa na Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa.
Kwa wenye kufahamu alipo Mkuu wetu wa mkoa; nawaomba mnijuze.
Mapendo,
TANMO.
Ni kitambo kimepita bila kumsikia ama kusikia taarifa kumhusu Mkuu wetu wa mkoa Ndugu. Makonda.
Hata leo Mkuu wa nchi wakati anarejea kutokea "Nchini" Zanzibar, amepokelewa na Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa.
Kwa wenye kufahamu alipo Mkuu wetu wa mkoa; nawaomba mnijuze.
Mapendo,
TANMO.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Pepa linakaribia si QT yule acha apige msuli alete vyeti
Pepa linakaribia si QT yule acha apige msuli alete vyeti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pepa linakaribia si QT yule acha apige msuli alete vyeti
Na kufa pia uwe wa kwnz mkuu[emoji3]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hakosi kupost picha ya gymYupo gym
Kudadadeki huko Dar mmeweka history ya kuwa na RC darasa la saba!Pepa linakaribia si QT yule acha apige msuli alete vyeti
Muwe na huruma na mbavu zetu jamaniPepa linakaribia si QT yule acha apige msuli alete vyeti