Yuko wapi Makonda?

Yuko wapi Makonda?

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,045
Reaction score
12,541
Ni kitambo kimepita bila kumsikia ama kusikia taarifa kumhusu Mkuu wetu wa mkoa Ndugu. Makonda.

Hata leo Mkuu wa nchi wakati anarejea kutokea "Nchini" Zanzibar, amepokelewa na Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa.

Kwa wenye kufahamu alipo Mkuu wetu wa mkoa; nawaomba mnijuze.

Mapendo,
TANMO.
 
Yupo sana hata jana alikuwepo uwanjani kwenye ufungaji wa mbio za mwenge.
 
Ni kitambo kimepita bila kumsikia ama kusikia taarifa kumhusu Mkuu wetu wa mkoa Ndugu. Makonda.

Hata leo Mkuu wa nchi wakati anarejea kutokea "Nchini" Zanzibar, amepokelewa na Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa.

Kwa wenye kufahamu alipo Mkuu wetu wa mkoa; nawaomba mnijuze.

Mapendo,
TANMO.
Makonda yupo zanzibar anakula bata
IMG_20171015_202901.png
 
Kwenye kikao cha watu wasiojulikana kutathmini shambulizi la Lissu the Great kwanini limeshindwa na kupanga mikakati ya mashambulizi yajayo ili yasishindwe tena.

Ni kitambo kimepita bila kumsikia ama kusikia taarifa kumhusu Mkuu wetu wa mkoa Ndugu. Makonda.

Hata leo Mkuu wa nchi wakati anarejea kutokea "Nchini" Zanzibar, amepokelewa na Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa.

Kwa wenye kufahamu alipo Mkuu wetu wa mkoa; nawaomba mnijuze.

Mapendo,
TANMO.
 
Amebaki Zanzibar kumpa kampani Diamond ambae ana show kali leo.

And by the way,it is sunday,let him enjoy himself.

Kesho Jumatatu siku ya kazi atakuwa ofisini.
 
Unamwalika dimondi akatumbize siku ya maombolezo? Yani jana ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha juliusi wao wamefanya kama hafla na wanamuziki juu! Hivi mkiambiwa mli... mtakataa
 
Unapomuulizia mtu kama humuoni ni kumpa umaarufu,hebu tunyamaze tuone anautoa wapi umaarufu.
 
Back
Top Bottom