Yuko wapi Lowassa?

Anamwogopa jpm balaa, ana wasi wa kupelekwa mahakama ya mafisadi
Kama ana hatia apelekwe. Vinginevyo tunassume kwamba jpm kama alivyofanya mbowe kamatakasa na shutma zote za ufisadi
 
Kauli yake ya nini? Ushasema katuhumiwa na hakuna ushahidi na mbowe kashawajibu hafanyii kazi wito wa mpumbavu! Mkiweza mkamkamate wenyewe ila uzuri filamu limeisha maana wale waliogoma kuja ndio ishapita ivo poleni
Kisiasa tuhuma ni kitu kizito kinachoweza kubadilisha upepo kabisa. Hujui mkuu?
 
Hata Sherehe zake za Mwaka Mpya mwaka huu kazikaushia
 
Naona huyu Mzee anapotea kidogokidogo si kawaida kukaa mda mrefu bila kuwa kwenye media. Yuko wapi. Sinema ya sembe imemalizika yeye kimyaaa.
Umesahau aliahidi nini kua akishindwa ataenda wapi na kufanya nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…