Wakuu huyu jamaa kitwanga alikuwa mtu wa karibu sana na Magufuli nilitegemea angesamehewa maana pombe sikuona kama sababu Sana labda kama alikuwa na ishu nyingine za lugumi co.yuko wapi mwamba huyu
Mbona Kangi Lugola a.k.a Ninja mzee wa kukata mauno mpingaji wa taarifa ya CAG juu ya sare za polisi hujamuulizia? Kitwanga alikupa nini? Mfate huko Mwanza-Misungwi.