Yuko wapi Kiongozi wangu Freeman Mbowe?

Naona kimya kingi isivyo kawaida. Kulikoni? I miss his busara
Alisha lambishwa Asali mzee unategemea aseme nn.hata leo ukisikia anaongelea maisha ya watanzania ujue ni ujanja ujanja tu hakuna kitu.
 
Unaweza kuwekà ushahidi Wapi walipogoma kurudi na wapi Mbowe amesema wanamsumbua?
Tangu wameahidi kurudi mbona hatuwaoni?

Zaidi wanachofanya ni kuichokonoa serikali ili wapate sababu za kukaa huko.

Wanataka wakaribishwe wakati walijikimbiza wenyewe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…