Mwanasiasa huyu mkongwe na mmoja wa waasisi wa CCM aliyekuwa na kadi namba 8 yuko wapi kwa sasa?
Namkumbuka sana na kauli yake maarufu wakati Kampeni za Uchaguzi Mkuu kuwa " CCM imeishiwa pumzi " yuko wapi komredi huyu?
Nakumbuka enzi hizo kuna maneno yalikuwa yanazagaa mtaani kuwa jamaa ni " Kalumanzila " wa CCM, lakini baadae alikuja kukihama chama hiko. Je ni wapi alipo mwanasiasa huyu mkongwe kwa sasa maana yupo kimya sana?
Kwani hukumuoma chuo kikuu kwenye kigoda cha mwalimu. Acha unafiki[/QUOTE
Mwanasiasa huyu mkongwe na mmoja wa waasisi wa CCM aliyekuwa na kadi namba 8 yuko wapi kwa sasa?
Namkumbuka sana na kauli yake maarufu wakati Kampeni za Uchaguzi Mkuu kuwa " CCM imeishiwa pumzi " yuko wapi komredi huyu?
Nakumbuka enzi hizo kuna maneno yalikuwa yanazagaa mtaani kuwa jamaa ni " Kalumanzila " wa CCM, lakini baadae alikuja kukihama chama hiko. Je ni wapi alipo mwanasiasa huyu mkongwe kwa sasa maana yupo kimya sana?
Unamuuliza kama nani?? Mkewake hajamuuliza ww unaanzaje??
Karibu kila siku ya mungu Namuona NBC bank.. Almost every day. Siku za kaziKaishiwapumzi baada ya jahazi kuzama
Mwanasiasa huyu mkongwe na mmoja wa waasisi wa CCM aliyekuwa na kadi namba 8 yuko wapi kwa sasa?
Namkumbuka sana na kauli yake maarufu wakati Kampeni za Uchaguzi Mkuu kuwa " CCM imeishiwa pumzi " yuko wapi komredi huyu?
Nakumbuka enzi hizo kuna maneno yalikuwa yanazagaa mtaani kuwa jamaa ni " Kalumanzila " wa CCM, lakini baadae alikuja kukihama chama hiko. Je ni wapi alipo mwanasiasa huyu mkongwe kwa sasa maana yupo kimya sana?
Aliingia kwenye bunge la katiba kama mwakilishi wa wachawi Tanzania!
Ni kweli mkuu hata kwenye binge la katiba aliingia kwa tiketi ya waganga wa hadi!Mwanasiasa huyu mkongwe na mmoja wa waasisi wa CCM aliyekuwa na kadi namba 8 yuko wapi kwa sasa?
Namkumbuka sana na kauli yake maarufu wakati Kampeni za Uchaguzi Mkuu kuwa " CCM imeishiwa pumzi " yuko wapi komredi huyu?
Nakumbuka enzi hizo kuna maneno yalikuwa yanazagaa mtaani kuwa jamaa ni " Kalumanzila " wa CCM, lakini baadae alikuja kukihama chama hiko. Je ni wapi alipo mwanasiasa huyu mkongwe kwa sasa maana yupo kimya sana?
kwahiyo anafanya kazi NBC?Karibu kila siku ya mungu Namuona NBC bank.. Almost every day. Siku za kazi