Yuko wapi kinara huyu Seitundu Kamanda nguvu ya nyani

Yuko wapi kinara huyu Seitundu Kamanda nguvu ya nyani

mms

Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
22
Reaction score
7
Chuo cha mfunzo ya jeshi la magereza Kiwira kulikuwepo na Mkufunzi mmoja matata na mkakamavu kwelikweli alikuwa akifahamika kwa jina lake maarufu sana la SEITUNDU KAMANDA NGUVU YA NYANI. Huyu jamaa alikuwa mtata kwelikweli mwenye taarifa za huyu kinara aje atiririke.
 
Back
Top Bottom