Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 16,239
- 22,865
Kweli aisee! Atakumbukwa kwa hilo la mabasi kusafiri usiku.Huyu alikuwa waziri wa mapolisi kipindi cha giza. Tuliambiwa alikuwa mwalimu wa malaika
Aliposhindwa kura za maoni kwenye kinyang"anyiro mwaka 2020 hajaonekana tena
je mzee wa kukata mauno KANGI LUGOLA YUPO WAPO
Atakumbukwa kwa jitihada zake za kuyaruhusu mabasi ya abiria yasafiri usiku na mchana
Nawasilisha
Mzee wa miunoHuyu alikuwa Waziri wa mapolisi kipindi cha giza. Tuliambiwa alikuwa mwalimu wa malaika. Aliposhindwa kura za maoni kwenye kinyang'anyiro mwaka 2020 hajaonekana tena. Je, mzee wa kukata mauno KANGI LUGOLA YUPO WAPO?
Atakumbukwa kwa jitihada zake za kuyaruhusu mabasi ya abiria yasafiri usiku na mchana.
Nawasilisha.
Amepita hapo nje muda si mrefuHuyu alikuwa Waziri wa mapolisi kipindi cha giza. Tuliambiwa alikuwa mwalimu wa malaika. Aliposhindwa kura za maoni kwenye kinyang'anyiro mwaka 2020 hajaonekana tena. Je, mzee wa kukata mauno KANGI LUGOLA YUPO WAPO?
Atakumbukwa kwa jitihada zake za kuyaruhusu mabasi ya abiria yasafiri usiku na mchana.
Nawasilisha.
Alikuwa mwalimu au mwanafunzi?View attachment 3393710
Huyu alikuwa Waziri wa mapolisi kipindi cha giza. Tuliambiwa alikuwa mwalimu wa malaika. Aliposhindwa kura za maoni kwenye kinyang'anyiro mwaka 2020 hajaonekana tena. Je, mzee wa kukata mauno KANGI LUGOLA YUPO WAPO?
Atakumbukwa kwa jitihada zake za kuyaruhusu mabasi ya abiria yasafiri usiku na mchana.
Nawasilisha.
Yeye mwenyewe alikuwa njagu!Amechukua tena fomu ya ubunge aliwasaidia sana boda boda wasisumbuliwe na polisi barabarani
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Alikuwa na mikwara sana. ila ile awnu ilitisha sana iliweka watu.View attachment 3393710
Huyu alikuwa Waziri wa mapolisi kipindi cha giza. Tuliambiwa alikuwa mwalimu wa malaika. Aliposhindwa kura za maoni kwenye kinyang'anyiro mwaka 2020 hajaonekana tena. Je, mzee wa kukata mauno KANGI LUGOLA YUPO WAPO?
Atakumbukwa kwa jitihada zake za kuyaruhusu mabasi ya abiria yasafiri usiku na mchana.
Nawasilisha.
πππ Nchi yanguAlikuwa na mikwara sana. ila ile awnu ilitisha sana iliweka watu.
Kuna mdogo wake ni policcm hupiga marungu hatari pale KisutuYuko wapi Kangi Lugola?
Tema mate chini, kauli kama hizi hazina afya hata kidogo.Kweli bhn yeye ndie aliruhusu mabus yasafiri 24hrs.... Hatuwezi kuzuia usafiri wa usiku eti kisa tunayaogopa majambazi, majambazi inatakiwa yatuogope sisi
Alisema ni Mwanafunzi wakeAlikuwa mwalimu au mwanafunzi?
Kauli Gani? Mimi nimemnukuu tu kwenye Moja ya hotuba zakeTema mate chini, kauli kama hizi hazina afya hata kidogo.
Kauli ya huyu mchangiaji "Kweli bhn yeye ndie aliruhusu mabus yasafiri 24hrs.... Hatuwezi kuzuia usafiri wa usiku eti kisa tunayaogopa majambazi, majambazi inatakiwa yatuogope sisi"Kauli Gani? Mimi nimemnukuu tu kwenye Moja ya hotuba zake