Yuko wapi Job Ndugai Naibu Spika?

Afya ya Ndugai mgogoro

Chanzo: Mheshimiwa spika akihitimisha kikao cha 18 cha bunge!
 
Afya ya Ndugai mgogoro

Chanzo: Mheshimiwa spika akihitimisha kikao cha 18 cha bunge!

CCM ina wenyewe na kuna sababu ya kuwajua hao wenyewe halafu ndo ufanye kazi nao "wenye Chama".Vinginevyo tutasema mengine @ mmoja anayajua..
 
jamaa ni mpiga pombe kali sana ndiyo maana akikwaruzana na sugu au lemà lazima amtoe nje,alikuwa anaingia jicho jekundu,lazima ini limeiva tayari kwa chakula
 
View attachment 225034
Hawa ndo wanajua alipo Job Ndugai kwa sababu kwenye sakata la escrow alipotaka haki ipatikanane watuhumiwa wote wawajibishe na kufikishwa mahakamani ndo akapotea mpaka leo hajaonekana tena.
 
Afya ya Ndugai mgogoro

Chanzo: Mheshimiwa spika akihitimisha kikao cha 18 cha bunge!
kama ni kweli basi ccm watakuwa wamemchinjia baharini
 
Washangaaji wa mabaya ni wengi, wanaoudhika ni weengi, wanaomwomba Mungu azuie mabaya wachaache!
 
----- wa milele umemkabili vilivyo..full nepi hawezi hapa kutembea..
 

Taarifa za ndani sana (chimbo) zinadai kuwa, Ndugai alikuwa deal na E.L kufanya "how-ever" kuhakikisha Pinda anang'oka issue ambayo CCM iliistukia na kuona kama uhaini.

Kuna mambo mengi na makubwa sana nchi hii. Do not think it as easy!
**Noumah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…