jamaa kama analazimisha uongoz lakini hamna kitu yaani kuunga unga tu. By the way ndugu zetu hawa ni ishu asee. Wivu, kubebana na chuki zisizo na msingi ndo misahafu yao. Ptuu.
Alijifanya yupo karibu na wadau akafungua hiyo account ili apewe ushauri..kilichofuata ndio akaikimbia mazima. ..kiufupi jamaa ni mbabaishaji namba moko