Muimbaji huyu wa muziki wa reggae hapa nchini sijamsikia siku nyingi achilia mbali kumuona, naamini amejichimbia kwa muda mrefu kutuandalia vibao murua, kama kuna ajuaye lolote kumuhusu Kimbute mreteni atupie hapa.
Saa hizi si atakuwa babu maake ni long time maake,hata akina marehemu Asante Rabi walitangulia mbele ya haki kitambo.Au Manju anaweza kutwambia ingawa naye sijui kapotelea wapi na ubunifu wake wa nguo za asili.