Ndio maana tunauliza kwa maana umemshangaa anachukua wanawake wabovu ina maana wewe ukobfresh sasa alivyojaribu to hit on you ambaye ni bomba matokeo yalikuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Morogoro anapambana na house girl wake
Kwani hapo amekosea kipi?Acha tujivunie kiingereza aisee.....poor are u Mahita.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha tujivunie kiingereza aisee.....poor are u Mahita.
Jamaa alikuwa amekaa kimafiamafia, nashangaa maIGP sahivi warembo tu hata huwezi dhani maIGP, kama yule Mangu alikuwa mpole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaha sijawah kutana nae hv ana kwa ana...namanisha wabovu kwann unatemea na kila mwanamke!una shida gan ww... lol! unaona kbs huyu mwanamke ht life lake la kudanga unatemea nae unajipend ahujipend! unaona kbs huyu ht ngz yake inaoensha majanga we nae unatumbukia humo! bas mie ni mshamba
Anatembea na kila mwanamke sababu yeye ni mwanamme. Mwanamme huwa haridhiki na mwanamke mmoja. Na that is nature.
mhh kuna wanaume bwana mbn wanabagua kbs wanawake wakutoka nao?? huyu habagui! anachefua sana yaan anawadhalilisha sana wake zake!... binafs ningekuwa mwanamume mie nisingetembea na mwanamke mchafu,huez nielewa!...
Mwanamke mchafu ndo yupoje.? Mbona ninyi kwa ninyi hampendani jamani.?
Nishawahi kumlamba bintiye nilikimbia lindi kujificha
sasa wewe unaleta mada 2 kwa wakat m1.. binafs siwez mchukia mwanamke mwenzangu... nipo easy sana mm aic!... kuna vitoto katembea navyo uwii anywys huez nielewa nikisema mwanamke mchafu asie na hadhi ya kutoka na boss km yule.... had unajiuliza huyu mzima? mie nehi