malkiamrembo JF-Expert Member Joined Mar 29, 2015 Posts 386 Reaction score 231 Mar 22, 2017 #1 Wakuu pole na majukumu, namuuliza huyu jamaa alikuwa anaandika logic sana humu jf anatumia ID ya GENTAMYCINE naona kimya na sio kawaida yake.
Wakuu pole na majukumu, namuuliza huyu jamaa alikuwa anaandika logic sana humu jf anatumia ID ya GENTAMYCINE naona kimya na sio kawaida yake.
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,072 Reaction score 15,343 Mar 22, 2017 #2 malkia wewe ndio umepotea nenda jukwaa la siasa wiki nzima anapiga makombora tu
malkiamrembo JF-Expert Member Joined Mar 29, 2015 Posts 386 Reaction score 231 Mar 22, 2017 Thread starter #3 Hahahahaaa
malkiamrembo JF-Expert Member Joined Mar 29, 2015 Posts 386 Reaction score 231 Mar 22, 2017 Thread starter #4 kimbendengu said: malkia wewe ndio umepotea nenda jukwaa la siasa wiki nzima anapiga makombora tu Click to expand... Naenda aiseee
kimbendengu said: malkia wewe ndio umepotea nenda jukwaa la siasa wiki nzima anapiga makombora tu Click to expand... Naenda aiseee
msindikizaji JF-Expert Member Joined Aug 29, 2010 Posts 1,763 Reaction score 2,891 Mar 22, 2017 #5 Hahhaha yuuupo hata juzi tu alikua analalama wamemshindisha na taulo na mswaki akisubiri habari za mtu kutumbuliwa kutoka kwa mkurugenzi wa habari
Hahhaha yuuupo hata juzi tu alikua analalama wamemshindisha na taulo na mswaki akisubiri habari za mtu kutumbuliwa kutoka kwa mkurugenzi wa habari
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,627 Mar 22, 2017 #6 malkiamrembo said: Wakuu pole na majukumu, namuuliza huyu jamaa alikuwa anaandika logic sana humu jf anatumia ID ya GENTAMYCINE naona kimya na sio kawaida yake. Click to expand... Ni kweli mheshimiwa Rais fomu ulichukuwa mwenyewe lakini je kura nazo ulijipigia mwenyewe?
malkiamrembo said: Wakuu pole na majukumu, namuuliza huyu jamaa alikuwa anaandika logic sana humu jf anatumia ID ya GENTAMYCINE naona kimya na sio kawaida yake. Click to expand... Ni kweli mheshimiwa Rais fomu ulichukuwa mwenyewe lakini je kura nazo ulijipigia mwenyewe?
BILGERT JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 6,532 Reaction score 11,028 Mar 22, 2017 #7 Wewe ndo Gentamycin
MNYAMAKAZI JF-Expert Member Joined Oct 7, 2014 Posts 2,118 Reaction score 2,199 Mar 22, 2017 #8 Umeamua ujibadili jinsia
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,439 Reaction score 110,061 Mar 22, 2017 #9 malkiamrembo said: Wakuu pole na majukumu, namuuliza huyu jamaa alikuwa anaandika logic sana humu jf anatumia ID ya GENTAMYCINE naona kimya na sio kawaida yake. Click to expand... Unamuulizia tomato Tomito. Au ni ww mwenyewe Genty. Maana ana IDs zaidi ya 5
malkiamrembo said: Wakuu pole na majukumu, namuuliza huyu jamaa alikuwa anaandika logic sana humu jf anatumia ID ya GENTAMYCINE naona kimya na sio kawaida yake. Click to expand... Unamuulizia tomato Tomito. Au ni ww mwenyewe Genty. Maana ana IDs zaidi ya 5
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,223 Reaction score 16,902 Mar 22, 2017 #10 leo umekuja na nyingine, hivi mnapataga faida gani??