Wadau hebu naomba kujulishwa wapi alipo Fred Mpendazoe je bado ni mwanachama wa Chadema?
ukipata jibu na mimi nauliza wako wapi wakina Juliana Shonza, Mtela Mwampamba, Dkt. Walid Kabour, Tambwe Hiza, Habib Mchange, Thomas Ngawaiya n.k
Yupo kaajiriwa na shirika la kimataifa la SNV.
Jana niliuliza mpendazoe bado ni mwanachama Wa chadema? nikashangaa ile post Leo siioni kuna mtu mwingine ameleta hii sio mbaya kama yupo SNV bado chadema? Mana kwenye mikutano ya kuimarisha chama sijawahi kumsikia au ndo wale wale mamluki??? Kazi maalum?????
mkuu una roho ngumu sana , ID yako imenisononesha sana ! Huyo jamaa ALICHOTUFANYIA MAN U SIWEZI KUSAHAU .
Mkuu me ni mshabiki wa Everton bana kwetu sisi alifanya mambo mazuri sana..
chagadema ishajifia acha wafu wazike wafu wao