Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,937
- 1,192
Unafaa uwe kwenye blog za udaku special.
Nashukuru, kuanzia majumba ya urithi mpaka ya kujenga mwenyewe hakuna lililopo bondeni na hakuna liliothirika na ikitokea siku kuwa lipo litalobomolewa kwa kupitisha maendeleo basi ntakula mkwanja mzuri tu na sinto-sita kuachia kwa ajili ya maendeleo.
Shamba au niseme mashamba nna maeneno ya kulima mpaka mengine nilitoa offer humu JF kwa atakae kulima aje kulima na waliochukuwa fursa hiyo sasa wanafaidika, mambo swaaafi kabisa.
AlhamduliLlah nipo tena nashukuru nipo fit kabisa na hivi nipo busy kijijini natayarisha mashamba, ndiyo msimu wake huu.
Karibu maembe dodo, msimu ndio unamalizikia, huku kwetu embe dodo moja lilikuwa shillingi 200 sasa yamefika 300. Njooni fursa hiyo, Dar yanafika mpaka 1,000 kwa reja reja.
Uzi huu na chadema wapi na wapi anzisha uzi mwingine wa chadema mkuuWatatimuliwa sana hawa misukule. Chama kibaki na mafisadi tu na mawakala wao
Wapi huko? Kibada, Ruvu au Kibaha??Unafaa uwe kwenye blog za udaku special.
Nashukuru, kuanzia majumba ya urithi mpaka ya kujenga mwenyewe hakuna lililopo bondeni na hakuna lililoathirika na ikitokea siku kuwa lipo litalobomolewa kwa kupitisha maendeleo basi ntakula mkwanja mzuri tu na sinto-sita kuachia kwa ajili ya maendeleo.
Shamba au niseme mashamba nna maeneo ya kulima mpaka mengine nilitoa offer humu JF kwa atakae kulima aje kulima na waliochukuwa fursa hiyo sasa wanafaidika, mambo swaaafi kabisa.
AlhamduliLlah nipo tena nashukuru nipo fit kabisa na hivi nipo busy kijijini natayarisha mashamba, ndiyo msimu wake huu.
Karibu maembe dodo, msimu ndio unamalizikia, huku kwetu embe dodo moja lilikuwa shillingi 200 sasa yamefika 300. Njooni fursa hiyo, Dar yanafika mpaka 1,000 kwa reja reja.
Mkuranga kwa Wacanada.Wapi huko? Kibada, Ruvu au Kibaha??
Dah!!! Natamani kuwa mkulima mix ufugaji sema bado mambo hayajakaa.Mkuranga kwa Wacanada.
Afya bora kwa nani?kwani hiyo bodi ingewekwa kwenye TFDA maziwa yasingeleta afya njema?Kwa afya bora
Labda anahangaika kuhamisha vitu nyumba Umepigwa XWasalaam bibie FaizaFoxy popote pale ulipo.
Kwakweli mimi binafsi nimeu-miss (kama tunavyosema vijana wa kileo) mchango wako humu jamvini!
Siyo kawaida yako kuacha kuisifia serikali yako pendwa ya chama chako pendwa cha CCM ila kwa sasa mmh! Upo kimya sana bibie! Nini tatizo?
Najua unau-miss sana utawala wa rafiki na kaka yako kipenzi Dr. Jakaya Mrisho Kikwete lakini ndo hivyo tena, umeshapita! Kumbuka kuwa mtu akiwa anakimbiza sakafuni basi mwisho wa mbio zake ni ukingoni mwa sakafu!
Nitakuwa sina busara na hekima nisipo kupa pole kutokana na sekeseke lililoikumba sehemu yako kuu unayopata ugali wako na familia yako!
Jana nilipita maeneo ya Ilala na nikapokea taarifa kuwa nyumba zote za Ilala kuanzia kule Jangwani hadi karibu kabisa na zilipo nyumba za NHC karibu na Ilala Boma zinapigwa tingatinga! Hapa nikawaza tena kama mpendwa wangu huyu hatakuwa kapata janga la pili kweli?
Ninaipenda CCM #mbelekwambele
#Sinywi sumu sijinyongi
#Acha waisome namba
Ahame wapi ? Juzi nilimuona mahakamani anaserebuka na kumsifu mh.Abdallah Mtolea kwa walau kuisogeza tingatinga mbele !Ushahama mabondeni?
Asalaam Alaikum.
Ahsante kwa kuni miss. Nipo ingawa kasi imepungua kiasi.
Kwa wale wanaonisoma humu, wengi wao wanaelewa miezi hii huwa kasi yangu ya kuingia JF inapungua sana kwa sababu za ukulima. Moja kati ya kazi zangu nizipendazo ni shamba, na huu ni msimu wa kutayarisha mashamba basi nnakuwa busy kupita kiasi.
Nipo sana.
Mengine ntajibu baadae.
#HapaKaziTu
Ngoja waje wazee wa kuisoma namba watakujib