G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,595
- 36,015
Wasalaam bibie FaizaFoxy popote pale ulipo.
Kwakweli mimi binafsi nimeu-miss (kama tunavyosema vijana wa kileo) mchango wako humu jamvini!
Siyo kawaida yako kuacha kuisifia serikali yako pendwa ya chama chako pendwa cha CCM ila kwa sasa mmh! Upo kimya sana bibie! Nini tatizo?
Najua unau-miss sana utawala wa rafiki na kaka yako kipenzi Dr. Jakaya Mrisho Kikwete lakini ndo hivyo tena, umeshapita! Kumbuka kuwa mtu akiwa anakimbiza sakafuni basi mwisho wa mbio zake ni ukingoni mwa sakafu!
Nitakuwa sina busara na hekima nisipo kupa pole kutokana na sekeseke lililoikumba sehemu yako kuu unayopata ugali wako na familia yako!
Jana nilipita maeneo ya Ilala na nikapokea taarifa kuwa nyumba zote za Ilala kuanzia kule Jangwani hadi karibu kabisa na zilipo nyumba za NHC karibu na Ilala Boma zinapigwa tingatinga! Hapa nikawaza tena kama mpendwa wangu huyu hatakuwa kapata janga la pili kweli?
Ninaipenda CCM #mbelekwambele
#Sinywi sumu sijinyongi
#Acha waisome namba