Huyu jamaa nakumbuka nikiwa shule olevel mwaka 2009 alitesa sana na hiki kibao chake cha Sikiliza wimbo aliomshirikisha Makamua
Enzi hizo nilikuwa napenda kuisikiliza Kiss Fm....enzi za dj maliz
Na hii story sikiliza wimboo!! Makamu na QJay ndani....Nilisikia makamua alisema mchizi(Estam) yupo anapiga mishe nyingine kabisa,alikuwa anahojiwa na BIG CHAWA COUSIN USINITAG.