kwani polepole kwenye katba mpya nafasi ya ukuu wa wilaya alikuwa hasimamii anachoamini? mbona amekuwa mkuu wa wilaya na si huyu leo tunamwita mnafiki? au unafiki ni cheo kwamba kinachagua watu na watu?Nadhani kuna watu hawajui maana ya unafiki. Unafiki ni mtu kufanya vitu kwa siri. Lakini Nchimbi hakuwa mnafiki alisimamia anachokiamini.
Malmo alipata lini hicho cheo!?Dr Nchimbi hakuwa mnafiki,ipo siku chama chake kitamtendea haki,kama walivyomkumbuka Philipo Malmo makamu mwenyekiti wa CCM bara
kosa ni kutoka katka kikao cha kamati kuu.Nchimbi na Sofia hawakua wanafiki maana waliweka wazi msimamo wao, maana hawezi kufanya hivo. Na wala hawakua na kosa Lolote maana kile kilikua kipindi cha uchaguzi na kuwa na makundi haikua tatizo
Swali hili muulize Mheshimiwa Lowassa. Atakujibu kwa ufasaha sana.Habari za leo wana jamii,
Napenda kujua huyu kada nguli kabisa toka enzi za umoja wa vijana mpaka kuja kuwa waziri na sasa amepotea kama upepo uvumao. Namuulizia Emmanuel Nchimbi maana naona wengine wanaukwaa ukuu wa mikoa, ubalozi.
Yeye nini hasa kimempata mpaka kuwa kimya hivi. Hata kwenye vyombo vya habari haonekani. Napenda tu kujua maana ni makada waliongoza harakati za kuitetea CCM iwe mvua iwe jua walikua tayari hata kufa chama kibaki.
Nawasilisha.
nDIPO AKILI YAKO ILIPO AMKIA? POLE KUMBE NAHANGAIKA NA MLEVI?! Pombe ikiisha kanywe nyingine ili uendelee kujipa faraja kuwa umeelimika vya kutosha.
nandani alimaanisha philip mangulaPhilipo Malmo amekuwa makamu wa chairman tangu lini au mimi ndo niko nje ya habari mkuu
Iko siku Nchimbi nae atakuja kuwa Rais, sasa hapo itakuwa kazi! Kwanza atengue woote walio teuliwa kimagumashi halafu achunguze kama serikali iliyo mtangulia ilifanya mambo kwa kuzingatia Katiba ya JMT!Wengine wameachana na siasa kimyakimya.
tunamwita ni mnafiki kwa sababu alitoka kwenye kikao cha kamati ya maadili kwa kutokukubaliana na kilichokuwa kinafanyika, lakin baadae akamwunga mkono yule aliyeptishwa "kwa njia isiyohalali". sasa hapo huoni hiyo ni ishara ya mtu mwenye ndimi mbili?. mnamwita POLEPOLE ni mnafiki kwa sababu kile alichokuwa anahubir na anachokitenda kwa sasa ni vitu viwil vinavyotofautiana the same to nchimbi.Hivi huu utoto huku JF utaisha lini? Nchimbi, sofia simba na wale wengine hawakuwa wanafiki wao walitamka hadharani hawakukubaliana na kilichotokea, unajua maana ya unafiki? utoto utoto utoto utoto.
Kweli your right nilimaanisha makamu mwenyekiti wa sasa .Malmo alipata lini hicho cheo!?
Nadhani kuna watu hawajui maana ya unafiki. Unafiki ni mtu kufanya vitu kwa siri. Lakini Nchimbi hakuwa mnafiki alisimamia anachokiamini.
Philip Marmo hajawahi kuwa Makamu Mwenyekiti wetu labda ulimaanisha Philip Japhet Mangula.Dr Nchimbi hakuwa mnafiki,ipo siku chama chake kitamtendea haki,kama walivyomkumbuka Philipo Malmo makamu mwenyekiti wa CCM bara
Nchimbi ni jembe....
Anaitwa Ipyana Malecela.Nasisitizia hiyo namba3 Inasemekana MTU aliekuwa anampa Homa kwenye UVCCM alikuwa Kijana wa Mzee MALECELA simkumbuki Vzr jina lake Bahati Mbaya alifariki wakiti minyukano ya kuusaka ukuu ikiwa inaendelea
Jamaa amepotea kabisa katika medani za kisiasa!Iko siku Nchimbi nae atakuja kuwa Rais, sasa hapo itakuwa kazi! Kwanza atengue woote walio teuliwa kimagumashi halafu achunguze kama serikali iliyo mtangulia ilifanya mambo kwa kuzingatia Katiba ya JMT!
Kumbuja Dr Nchimbu na wenzake Kimbisa na Sophia Simba walikuwapo ndani kwenye Kikao cha maamuzi, kama kulikuwa na jambo halikuwa sawa walikuwa na nafasi ya kulikataa ndani ya vikao na ndiyo utaratibu huo unaokubalika, ukifanya kitu tofauti na mlichokubaliana kwenye vikao vyenu huo ni UNAFIKI na ndicho walichokifanya sasa ww hauelewi nini?Collective responsible kivipi? Kila mtu si ana maamuzi yake hizi siyo enzi za chama kimoja we vipi?