Yuko wapi Emmanuel Nchimbi?

Emanuel nchimbi Leo hakuna kijana wa ccm abasimamia anachoamn angalia hawa kinapolepole wanegeuka makasuku
 
W
wewe Dr Nchimbi baada ya kuona Dr Magufuli hakupi nafasi umeamua kuja kujipigia debe humu mwenyewe? Kwanini uliogopa kumfuata Lowassa uliyekuwa unamtetea? Tena Lowassa angepitishwa kugombea Urais ndani ya CCM wee ndyo ulikuwa uwe waziri mkuu wake. Sasa ukae Kimya hizo ndyo siasa.
 
Nchimbi amepumzika kwao Songea! Muacheni apumzike! Wakimkumbuka watamwita wampe chochote anachostahili!! Kwa sasa acha apumzike! Analima kwao huko
 
Acha kutoka mapovu ya mdomo,Vp kuhusu Ole medeye na mnyika unaweza kujua pia Walipo au nao pia waliaga jombaa
Za mbayuwayu...............
 
Acha kutoka mapovu ya mdomo,Vp kuhusu Ole medeye na mnyika unaweza kujua pia Walipo au nao pia waliaga jombaa
Za mbayuwayu...............
kweli una za mbayuwayu! hujui medeye alipo? hata kama hukwenda shule hili sio swali.
 
kweli una za mbayuwayu! hujui medeye alipo? hata kama hukwenda shule hili sio swali.
Kweli ww ndio una za mbayuwayu hujui Nchimbi alipo? Unauliza swali kama Kilaza bwana
huu mchezo hauitaji hasira
 
Kweli ww ndio una za mbayuwayu hujui Nchimbi alipo? Unauliza swali kama ****** bwana
huu mchezo hauitaji hasira
Mbayuwayu kweli wewe tena kilaza wao, swali hujibiwa kwa jibu sio swali kwa swali, kama unajua alipo ungejibu hilo swali ili tupate kufahamu wote, sio kukimbia swali wakati wewe pia hujui jibu. Tulia usome uelimishwa.
 
Yuko wapi Mabere Marando?
 
Mbayuwayu kweli wewe tena ****** wao, swali hujibiwa kwa jibu sio swali kwa swali, kama unajua alipo ungejibu hilo swali ili tupate kufahamu wote, sio kukimbia swali wakati wewe pia hujui jibu. Tulia usome uelimishwa.
Babu vp una arosto ya kiroba nn c uende ufipani ukagonge
 
Babu vp una arosto ya kiroba nn c uende ufipani ukagonge
nDIPO AKILI YAKO ILIPO AMKIA? POLE KUMBE NAHANGAIKA NA MLEVI?! Pombe ikiisha kanywe nyingine ili uendelee kujipa faraja kuwa umeelimika vya kutosha.
 
Sidhani alikuwa na nia ya siasa za baada ya uchaguzi kabla ya hapo alifanya ziara ya kuwashukuru wananchi wa jimbo lake na kuwaaga rasmi atogembea tena anawaachia wengine na zawadi ya basi akatoa kwa timu ya mpira. In short amesha saza atakuwa na shughuli zingine nje ya siasa.
 
Nasisitizia hiyo namba3 Inasemekana MTU aliekuwa anampa Homa kwenye UVCCM alikuwa Kijana wa Mzee MALECELA simkumbuki Vzr jina lake Bahati Mbaya alifariki wakiti minyukano ya kuusaka ukuu ikiwa inaendelea
 
Hivi huu utoto huku JF utaisha lini? Nchimbi, sofia simba na wale wengine hawakuwa wanafiki wao walitamka hadharani hawakukubaliana na kilichotokea, unajua maana ya unafiki? utoto utoto utoto utoto.
kweli mkuu
 
Ipyana Malecela
 
Yuko Tanzania

Kwa habari zaidi nenda chadema kwa kada aliyetokea ccm,
 
Huyu jamaa kwa sasa 'anaangalia' mali za Rostam Aziz NHC and Efata Bank. Mambo ya Ngoswe amemwachia Ngoswe mwenyewe. Tafadhali mwacheni.
 
Hivi huu utoto huku JF utaisha lini? Nchimbi, sofia simba na wale wengine hawakuwa wanafiki wao walitamka hadharani hawakukubaliana na kilichotokea, unajua maana ya unafiki? utoto utoto utoto utoto.
tunamwita ni mnafiki kwa sababu alitoka kwenye kikao cha kamati ya maadili kwa kutokukubaliana na kilichokuwa kinafanyika, lakin baadae akamwunga mkono yule aliyeptishwa "kwa njia isiyohalali". sasa hapo huoni hiyo ni ishara ya mtu mwenye ndimi mbili?. mnamwita POLEPOLE ni mnafiki kwa sababu kile alichokuwa anahubir na anachokitenda kwa sasa ni vitu viwil vinavyotofautiana the same to nchimbi.
 
Hivi huu utoto huku JF utaisha lini? Nchimbi, sofia simba na wale wengine hawakuwa wanafiki wao walitamka hadharani hawakukubaliana na kilichotokea, unajua maana ya unafiki? utoto utoto utoto utoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…