Habari za leo wana jamii,
Napenda kujua huyu kada nguli kabisa toka enzi za umoja wa vijana mpaka kuja kuwa waziri na sasa amepotea kama upepo uvumao. Namuulizia Emmanuel Nchimbi maana naona wengine wanaukwaa ukuu wa mikoa, ubalozi.
Yeye nini hasa kimempata mpaka kuwa kimya hivi. Hata kwenye vyombo vya habari haonekani. Napenda tu kujua maana ni makada waliongoza harakati za kuitetea CCM iwe mvua iwe jua walikua tayari hata kufa chama kibaki.
Nawasilisha.
Chukua hatuaMkuu,hivi unakumbuka baada ya Lowasa kukatwa na Kamati Kuu yeye na wenziwe wawili walitamka nini hadharani? Halafu unakumbuka kauli ya Rais JPM wakati wa kampeni na baada ya kupewa cheti kuhusu kutamalaki unafiki kwenye chama na hatua atakazochukua? Unaujua msimamo wa JPM dhidi ya unafiki? Tafakari!
Mkuu,hivi unakumbuka baada ya Lowasa kukatwa na Kamati Kuu yeye na wenziwe wawili walitamka nini hadharani? Halafu unakumbuka kauli ya Rais JPM wakati wa kampeni na baada ya kupewa cheti kuhusu kutamalaki unafiki kwenye chama na hatua atakazochukua? Unaujua msimamo wa JPM dhidi ya unafiki? Tafakari!
Kweli ndiyo maana hawezi kufanya kazi na Magufuli, mpaka leo yeye bado anasimamia imani yake kwamba Lowassa ndiye rais aliyepaswa kuwa madarakani na siyo JPM.Nadhani kuna watu hawajui maana ya unafiki. Unafiki ni mtu kufanya vitu kwa siri. Lakini Nchimbi hakuwa mnafiki alisimamia anachokiamini.
Hivi yupo wapi dkt Slaa maana aliipigania sana ChadrmaHabari za leo wana jamii,
Napenda kujua huyu kada nguli kabisa toka enzi za umoja wa vijana mpaka kuja kuwa waziri na sasa amepotea kama upepo uvumao. Namuulizia Emmanuel Nchimbi maana naona wengine wanaukwaa ukuu wa mikoa, ubalozi.
Yeye nini hasa kimempata mpaka kuwa kimya hivi. Hata kwenye vyombo vya habari haonekani. Napenda tu kujua maana ni makada waliongoza harakati za kuitetea CCM iwe mvua iwe jua walikua tayari hata kufa chama kibaki.
Nawasilisha.
Muulize Lowassa!Habari za leo wana jamii,

Umemaliza kila kitu mkuu, Mungu akubariki.Kumbe wewe na Makufuli hamuwajui wanafki, Nchimbi siyo mnafki bali ni mkweli alisimamia kile anachokiamini hadi dakika ya mwisho na hata pae chama kilipobinya demokrasia yeye alibaki ccm mpaka leo, je unafki wake uko wapi?
Wanafki ni hao wanaojifanya kumpenda Magufuli baada ya kuwa Rais kiukweli ndani ya ccm Magufuli hana bae yoyote,kila kada wa ccm alikwa na upande wake.
Ningependa kumtia moyo Nchimbi asifadhaike, ole wake amtegemeaye binadamu mwenzake, ridhiki anayetowa ni Mungu tu.
Jaribu kuficha ujinga wako, kila anefuatilia siasa anajua alipo Dr. slaa kwa kuwa anapost mambo kutoka huko alipo na aliaga anaenda kupumzika, sio lazima uingize chadema hata kwenye swala lisilo husu chadema, wote tunajua Nchimba kapotea kimya kimya ndio maana anauliziwa hapa, kama unataka kujua zaidi kuhusu slaa anzisha mada yako acha kudandia dandia mwisho utaaibika.Hivi yupo wapi dkt Slaa maana aliipigania sana Chadrma
Philipo Malmo amekuwa makamu wa chairman tangu lini au mimi ndo niko nje ya habari mkuuDr Nchimbi hakuwa mnafiki,ipo siku chama chake kitamtendea haki,kama walivyomkumbuka Philipo Malmo makamu mwenyekiti wa CCM bara
Tuachane na itikadi za kizamani ni wakati wa kubadilika sasa.Sawa,siasa za Tz unazionaje mkuu,hata ukisimamia ukweli?
Nani huyo?Moja ya vijana waliopitia uvccm wajasiri kabisa
Ni kweli,lakini 'collective responsibility' inamuweka kwenye kundi la unafiki pamoja kwamba alisimamia ukweli.