Huyo ni TEAMmaMVI....watawala wamemtupa....nasikia Kaajiriwa NEW HABARI COOPERATIONHabari za leo wana jamii. Napenda kujua huyu kada nguli kabisa toka enzi za umoja wa vijana. Mpaka kuja kuwa waziri. Na sasa amepotea kama upepo uvumao. Namuulizia Emmanuel Nchimbi. Maana naona wengine wanaukwaa mikoa ubalozi. Yeye nini hasa kimempata mpaka kuwa kimya hivi. Hata kwenye vyombo vya habari haonekani. Napenda tu kujua maana ni makada waliongoza harakati za kuitetea ccm iwe mvua iwe jua walikua tayari hata kufa chama kibaki. Nawasilisha.
Mkuu,hivi unakumbuka baada ya Lowasa kukatwa na Kamati Kuu yeye na wenziwe wawili walitamka nini hadharani? Halafu unakumbuka kauli ya Rais JPM wakati wa kampeni na baada ya kupewa cheti kuhusu kutamalaki unafiki kwenye chama na hatua atakazochukua? Unaujua msimamo wa JPM dhidi ya unafiki? Tafakari!
Kumbe wewe na Makufuli hamuwajui wanafki, Nchimbi siyo mnafki bali ni mkweli alisimamia kile anachokiamini hadi dakika ya mwisho na hata pae chama kilipobinya demokrasia yeye alibaki ccm mpaka leo, je unafki wake uko wapi?Mkuu,hivi unakumbuka baada ya Lowasa kukatwa na Kamati Kuu yeye na wenziwe wawili walitamka nini hadharani? Halafu unakumbuka kauli ya Rais JPM wakati wa kampeni na baada ya kupewa cheti kuhusu kutamalaki unafiki kwenye chama na hatua atakazochukua? Unaujua msimamo wa JPM dhidi ya unafiki? Tafakari!
Ni kweli,lakini kumbuka wote ni wanaCCM,kwa hiyo wanafahamiana vizuri wao kwa wao kuliko sisi tunavyowafahamu.Na pia jua JPM in mkuu wa nchi,hivyo ana taarifa za kutosha za kila anamuhitaji.Sasa mkuu kama ni hivyo. Mbona kimbisa anaonekana hata kwenye vyombo vua habari. Kwa nini Nchimbi akae kimya hivyo. Na kuwa ni timu mamvi kwenye mchakato wowote wa uchaguzi lazima kambi zitakuwepo. Ila baada ya ushindi huwa zinarudi na kuwa kitu kimoja. Kwa hiyo kuwa kambi ya mamvi mimi sioni kama kuna hoja hapo.
Hivi huu utoto huku JF utaisha lini? Nchimbi, sofia simba na wale wengine hawakuwa wanafiki wao walitamka hadharani hawakukubaliana na kilichotokea, unajua maana ya unafiki? utoto utoto utoto utoto.Mkuu,hivi unakumbuka baada ya Lowasa kukatwa na Kamati Kuu yeye na wenziwe wawili walitamka nini hadharani? Halafu unakumbuka kauli ya Rais JPM wakati wa kampeni na baada ya kupewa cheti kuhusu kutamalaki unafiki kwenye chama na hatua atakazochukua? Unaujua msimamo wa JPM dhidi ya unafiki? Tafakari!
Ni kweli,lakini 'collective responsibility' inamuweka kwenye kundi la unafiki pamoja kwamba alisimamia ukweli.Kumbe wewe na Makufuli hamuwajui wanafki, Nchimbi siyo mnafki bali ni mkweli alisimamia kile anachokiamini hadi dakika ya mwisho na hata pae chama kilipobinya demokrasia yeye alibaki ccm mpaka leo, je unafki wake uko wapi?
Wanafki ni hao wanaojifanya kumpenda Magufuli baada ya kuwa Rais kiukweli ndani ya ccm Magufuli hana bae yoyote,kila kada wa ccm alikwa na upande wake.
Ningependa kumtia moyo Nchimbi asifadhaike, ole wake amtegemeaye binadamu mwenzake, ridhiki anayetowa ni Mungu tu.
Wameshajiuzulu ujumbe wa CC?Hivi huu utoto huku JF utaisha lini? Nchimbi, sofia simba na wale wengine hawakuwa wanafiki wao walitamka hadharani hawakukubaliana na kilichotokea, unajua maana ya unafiki? utoto utoto utoto utoto.
Hivi huu utoto huku JF utaisha lini? Nchimbi, sofia simba na wale wengine hawakuwa wanafiki wao walitamka hadharani hawakukubaliana na kilichotokea, unajua maana ya unafiki? utoto utoto utoto utoto.
Wabunge wa kamati ya bunge wanapotofautiana na kamati huwa wanajiuzulu ujumbe kwenye kamati? Unaweza jiuzulu au usijiuzulu na usiwe mnafiki acha kukariri.Wameshajiuzulu ujumbe wa CC?
Collective responsible kivipi? Kila mtu si ana maamuzi yake hizi siyo enzi za chama kimoja we vipi?Ni kweli,lakini 'collective responsibility' inamuweka kwenye kundi la unafiki pamoja kwamba alisimamia ukweli.
Tunazungumzia bunge au kwenye chama?Wabunge wa kamati ya bunge wanapotofautiana na kamati huwa wanajiuzulu ujumbe kwenye kamati? Unaweza jiuzulu au usijiuzulu na usiwe mnafiki acha kukariri.
Sawa,siasa za Tz unazionaje mkuu,hata ukisimamia ukweli?Collective responsible kivipi? Kila mtu si ana maamuzi yake hizi siyo enzi za chama kimoja we vipi?
Acha hoja mfu basi, chama si kikundi cha watu wenye malengo na nia moja na kamati si kikundi cha watu wenye malengo na nia moja? Hivi hizi akili mnatumiaga kupigia ramli au?Tunazungumzia bunge au kwenye chama?
Duh! Mihemuko ya nini tena mkuu?Acha hoja mfu basi, chama si kikundi cha watu wenye malengo na nia moja na kamati si kikundi cha watu wenye malengo na nia moja? Hivi hizi akili mnatumiaga kupigia ramli au?