mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
Huyu amewahi kuwa mbuge wa Tarime kabla haijagawanywa na kuwa Tarime na Rorya. Kwa sasa simsikii kabisa sijui yuko wapi. Je, ni mzima ama alisha dead?
Oyombe hakuwa na shule na wala siyo siyo mfanyabihashara kama wenzake utamsikia wap kama siyo kulima afu ubunge alipata kwa bahat bahat tu na alifanya 0 rorya akaua na kiwanda cha Utegi .....aishie mbali uyo
