Yuko wapi Dr. Ndodi

Msome huyu hapa chini.

yupo pale magomeni mwembechai.jamaa alishanilapua laki mbili zangu na sikupona
wala nini akasema niongeze laki nne anipe dawa zingine.nikapotea kimoja
 
Wakuu ndodi yupo, anasali kurasin SDA,mwezi 1 uliopita wakat wasabato wanaendesha mahubr ya Big cities yy alikuwa na mkutano biafra..
kimsingi bado anaendelea na kazi yake ya tiba asili, amejijenga sana kanda ya ziwa hasa mkoa wa geita, anapatikana mwembe chai.
 
WanaJf naomba kujua alipo huyu jamaa mtanzania mwenzetu, dr Ndodi, mtaalamu wa dawa za asili maana alifanya sana kazi ya kusaidia baadhi ya watanzania.
Atakuwa anajipanga kugombea Ubunge! Hujui sifa kuu ya Ubunge ni kuwa mtaalamu wa dawa mbadala kama profesa maji mafupi?
 
Nahisi wewe ndio Mbichi aka Ndodi mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…