Yuko wapi Deus Malya?

Hahaha duniani usiwe muoga sana mkuu,niliyosema yote ni kweli,hata mimi namtafuta ila nipo mbali sana,ila naamini nitakutana naye siku moja.Yawezekana akawa humu akipitia hii thread lazima anicheki PM,na ni poa tu.
 
Dah nakumbuka kulikua na uzi humu wa kuhusu ile ajali na Chacha na alikua active kujibu maswali, The kid is smart
 
Duh. Kuna watu wanakuwa trained Kwa ajili yakufanya jambo flan LA watu flan

invest what you are willing to lose
 
Kuna siku tulikuwa naye pale Kinondoni alipokuwa amepanga. Alitusimulia mengi sana ambayo sintayataja kwa sababu mbalimbali. Siku hiyo umeme ulikatika tangu mchana. Sasa ilipofika jioni kama saa 12 na umeme haujarudi jamaa akang'aka "Ala! Yaani wamepitisha muda wa kurudisha umeme? Kwa nini?" Akachomoa simu yake na kupiga. Nilichosikia ni kujitambulisha kwa namba, hakutaja jina. Akafoka pale kwa nini umeme haujarudi na upande wa pili ukaomba radhi kwa kuvvusha muda. Ni ndani ya hiyo dakika umeme ukarudi. Nami ndo nikajua naongea na mtu wa namna gani. Jamaa ni mpole sana na mtaratibu anapoongea, ila nadhani ni mtu mzito.
 
Pumzi inamuhadaa, ipo siku isiyo na jina litakalompata atajutia maisha yake yote

invest what you are willing to lose
 
Huyu jamaa yupo ofisini Ufipa, ukienda hapo utamkuta anapiga kazi.
 
Hapana. Kuna wakati alitaka kutumiwa kuivuruga tena akashindwa. CDM nadhani wako smarter
Ni swaiba wa mwenyekiti long time hata Dr Slaa anajua, mbona namuona mitaani ufipa nikiwa around?
 
Inawezekana sio Usalama ila amegundua anahisiwa hivyo na anajua ABC za kitengo na anajua wabongo wengi wakiwemo watu wa Serikalini huwa ukiwaambia Mtu wa kitengo ukajiamini hawakuhoji sana zaidi ya kukuhofia unganisha dots kwenye kutapeli Watu wanaolalamika humu ndio utajua ni mjanja mjanja wa mjini na wapo kibao town hasa enzi za Jk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…