Yuko wapi Comredi Humphrey Polepole? Anafanya kazi gani kipindi hiki?

Yupo anajenga majumba na kutafuta Nchi ya kuficha mapesa yake aliyovuna kwenye bajeti ya uchaguzi toka china na pia pesa za corona tokea ulaya
mkuu kama huna ushahidi naona ni jambo jema ukaendelea kula mrenda kwa uma
 
mkuu kama huna ushahidi naona ni jambo jema ukaendelea kula mrenda kwa uma
Mtafute huyu mtu anaitwa Sele 0715132277 atakupa ushahidi wote kwani ni msiri wake na ndiyo aliyekuwa akigawa pesa kwa minajiri ya kufanya uchakachuaji kwenye uchaguzi mkuu
 
Wakuu, madelo ga wiza;

Katibu wa itikadi na uenezi CCM comredi Polepole alijichukulia umaarufu sana katika kipindi kilichopita wakati wa kampeini hasa kwa matamko yake ya kuwananga wapinzani hadharani.

Ameshiriki kazi kubwa ya kuwapaka tope Wapinzani na kuhakikisha CCM inaongoza dola kwa namna yoyote ile.

Ilifika muda nikiona tangazo Polepole na waandishi basi kila mtu anakuwa bize kutazama nini ataongea kijana huyu.

Lakni baada ya uchaguzi kuisha comredi polepole na wenzake mfano bw hery james, bashiru, kety komba, kafulila, wamekuwa kimyaaa

Mara ya mwisho nakumbuka aliongelea juu ya maandamano uchwara ya kina lissu risasi na mbowe cha pombe!

Toka kipindi hicho sijaona tena wakijibu hoja mbali mbali za wapinzani na jukumu hilo naona wametuachia sisi UVCCM pekee

Mwisho; kwa wanaofahama sababu ya kiongozi huyu kukaa kimya katika kipindi hiki kigumu cha maridhiano ni nini?? Anafanya nini sasa?

#ng'wabeja

#magema jr (primary teacher )
Agenda iliyokuwa ina mpa kiki imeshayeyuka,hana cha kueneza tena.wapinzania wamewachia waendelee na nchi yao kama vipi
 
Mtafute huyu mtu anaitwa Sele 0715132277 atakupa ushahidi wote kwani ni msiri wake na ndiyo aliyekuwa akigawa pesa kwa minajiri ya kufanya uchakachuaji kwenye uchaguzi mkuu
mkuu segerea unapafaham???
 
Amekosa wa kupingana naye kwenye siasa amebaki na kitabu Cha ilani chenye kurasa 308. Hamjui pesa za kutekeleza zitatoka wapi na hamjui miradi ya MAENDELEO ianze mkoa gani na Wilaya gani.
Sasa Mbowe kawa bubu, mnyika bubu, Lissu kaenda kwa beberu lake, Sasa unataka waongee Nini? Wanaendelea na kazi za kujenga chama hawana haja na nyumbu.
 
Anatumbua pesa apizochuma wkt wa kampeni....
Nasikiankajikisanyia km bilioni 6 hivi
 
Back
Top Bottom