Duzente Siqwente
JF-Expert Member
- Aug 6, 2012
- 265
- 60
Namtafuta huyu mdada jamani yeyote mwenye taarifa zake anijuze nmemkmbka sanaa wajameni ... Near Nakivubo Stadium
Last time alionekana Peponi road , Nairobi karibu na Wastegate shpng mall.
Habari zaidi nduguze wakikam.
charminglady unatafutwa
umeshakuja awe domo zege kazi kwakeNipo mkuu... Nimejaa tele kama pishi la ubwabwa!!!
Ujue hii njia wallinizoea sana, ndio maana nikabadili njia ili wanimiss......
umeshakuja awe domo zege kazi kwake
lol hata mimi sikujua,nilisikia kuna mazuri yanakuja ila sikujua mhusika ni @C6Hahahaaaa...... Hivi hajui kuwa mie ni Mrs. @C6
My shem Judgement nipo mkuu... Sema nilikuwa mishe kibao! Mara nyingi nilikuwa mitaa ya Liberty "as u know ni mitaa ya biashara" U noo wara ai min..
lol hata mimi sikujua,nilisikia kuna mazuri yanakuja ila sikujua mhusika ni @C6
Ukitaja Liberty street ujue unanchokoza!
Coz ndy mtaa ambapo ofisi yng ipo.
Hivi mbona C6 hatoi taarifa?. mia
Atoe taarifa kama kakupa talaka au kama amekuchoka. wengi twakutaka.Cc. @c6. miaTaarifa ya nini mkuu... Au ndo unasubiri niachike uendelee???Haachiki mtu hapa....
Mkuu ujue nakupata saaaana!!! We ngoja nije nkuibukie ndo utashangaa......
Hii sasa fixiy! Taja chochote kinisapraiz , ni confirm yakutokayo kinywanimo.
Atoe taarifa kama kakupa talaka au kama amekuchoka. wengi twakutaka.Cc. @c6. mia