balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,874
- 15,746
Tafadhari au tafadhali?Nilikutana naye mara ya mwisho Mbezi kwa Musuguli akaniambia Wana umoja wao unaitwa soldiers without borders na tangia hapo sijawahi kumuona wala kuwasiliana naye.Mwenye taarifa zake tafadhari aniwekee hapa.
Mara ya mwisho lini...???Nilikutana naye mara ya mwisho Mbezi kwa Musuguli akaniambia Wana umoja wao unaitwa soldiers without borders na tangia hapo sijawahi kumuona wala kuwasiliana naye.Mwenye taarifa zake tafadhari aniwekee hapa.
Hiyo utajua wewe.kiswahili sanifu kinafahamika,hivyo vishwahili vyenu vya shule za kata mtajijua wenyewe.Tafadhari au tafadhali?
Nilikutana naye 2013,aliniambia anakaa Tegeta.Huyu ndo alikuwa na akina Mwendazake Hans Pope walipojaribu kumpindua mwalimu Nyerere.Mara ya mwisho lini...???
Hebu jaribu kuwa specific zaidi.
Nahisi somo la fasihi ulipata A. Huenda yuko kwenye ziara za kikazi kule Guinea.Nilikutana naye mara ya mwisho Mbezi kwa Musuguli akaniambia Wana umoja wao unaitwa soldiers without borders na tangia hapo sijawahi kumuona wala kuwasiliana naye.Mwenye taarifa zake tafadhari aniwekee hapa.
Mh kubali yaishe bwashee r and l Tatizo siyoHiyo utajua wewe.kiswahili sanifu kinafahamika,hivyo vishwahili vyenu vya shule za kata mtajijua wenyewe.
Nipo, unasemaje?Nilikutana naye mara ya mwisho Mbezi kwa Musuguli akaniambia Wana umoja wao unaitwa soldiers without borders na tangia hapo sijawahi kumuona wala kuwasiliana naye.Mwenye taarifa zake tafadhari aniwekee hapa.