Yuko wapi bwana mkubwa

CCM wajiandae kufanyia mkutano mkuu Lubondo. Jamaa anaogopa kufa kama nini, lakini unavyozidi kuiogopa kifo ndivyo nacho kinavyozidi kukunyemelea.

Akiwa huko mafichoni ajitafakari, kama yeye anaogopa kifo kiasi hiki, anapata wapi ujasiri wa kuua wengine kirahisi rahisi?
 
So means wanaume wa Dar waendelee kutembea kifua mbele hukutukichapa kazi. Au ni yale ya wahenga, jogoo la shamba haliwiki mujini
 
kwa hili la kukimbia Dar nipo pamoja na Rais,mnataka kumpoteze?shida tu ni kwamba anataka kuonesha kama vile hakuna ttatizo na kuonyesha kwamba waliokimbia bunge kina Chadema ndo waooooga
 
Hizi pandemia nimejaribu kuzifuatilia ifikapo july watu wataanza kuogopana Baba atamuogopa mtoto Mama atamuogopa Baba

Hali ikishafikia hapo ndio kirusi kitakaposhindwa kuambukiza upya ila hali itakuwa mbaya.
 
Sasa hivi huyu COVID-19 kashazagaa kote na tumeambiwa tujifunze kuishi naye..ina maana huyu si wa kuondoka kesho ama keshokutwa..sasa kujificha hakusaidii cha msingi ni kujitokeza na kuongoza mpambano.
 
Maswali kama haya ni moja ya kashfa au matusi ambayo mdude Chadema inasemekana makosa aliyofanya. Tz ya leo hata kuuliza rais yu wapi ni tusi!!
 
Inamaana safari hii hatutaona ubabe wa Pushapu majukwaani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…