Yuko wapi Bernard Membe?

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master's in Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Sasa nimeamini, watu wengi wanajipendekeza ccm sio kwa sababu wanapenda ila kwa sababu ya njaa.
 
Membe ameslitiwa na zito maana zitto ni snitch mzoefu sana
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Blah blah. Punctuated education is lethal.
 
Mkuu hizi mbio zina wenyewe kama una mapafu ya kenge hautoboi ...CCM wana mapafu mithili ya F 35 ndio maana unaona watu wanaishia njiani.

October 28th kura zote za ndio ni kwa Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mmepigwa chenga. Chali. Cheza na Membe!
 
Membe ataomba kurejea CCM kwa fedheha kuliko wote waliowahi kufanya hivyo.
 
Hiyo CV yako inaonyesha umesoma lakini hujaelimika. ANyway, hatuna haja ya kukujibu, kamwulize Membe mwenyewe
 
Uteuzi uteuzi πŸ˜€
Huyu Leslie Mbena si bachelor degree wala Masters imesaidia kitu. Kichwani hamna kitu na inaonekana ana msongo mkubwa wa maisha na umaskini. Angekuwa na ufahamu kidogo angeacha kutajataja siju degree gani, sijui masters in what, kwa sababu presentation yake humu haijawahi ku-reflect hiyo elimu anayotaja. Simply brainwash.
 
Nikiambiwa hawa Kina BM ndio Senior Ex TISS nasikitika sana, Ni kweli idara ilijaa watu wa ovyo namna hii? Ni nani aliwajibika katika recruitment na Vetting mpaka kuwaingiza idarani watu kama Membe? Hawa ndio ndio tunaita Think Tank? No wonder ndio maana tunamikataba ya ovyo sana katika uvunaji wa Rasimali zetu, Shida ya hii nchi jicho lilikuwa mlimani tu Hapakuwa na utaratibu mzuri wa kupata potential na ndo mana awamu ya mkwere idara ndio ilikuwa ya ovyo zaidi kuliko wakati wowote, Tunamshukuru Mungu kwa JPM kuja na ame rescue situation at certain and he is doin well at all, Tunamtakia afya na utumishi mwema zaidi kuelekea 2020-2025
 
Kachero mbobezi Jasusi wa Tanganyika anawaza U_turn akaipigie wapi maana pumzi Hana tena

Anashangaa cheti chake kilivyoshindwa kumbeba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata topic uliyofanya dessertation ni ya kijinga Kama ulivyo wewe mwenyewe,business environment turbulence ya Tanzania ambayo ina vague policies za ccm ,how capital ya start ups could withstand in such market?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…