Yuko wapi Anna Peter aliekuwa EA Radio?

usser

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
13,901
13,869
Aiseeee! Huyu mwanadada alikua amefit sana pale kwenye planet bongo, alikuwa anaipatia vizuri sana akiwa na Dulla lakini nimeshangaa Juzi nasikiliza tena online mara nakutana na jamaa mwingne sijui ndo anaitwa Junior jr, anaboa kichizi kwenye hicho kipindi sijui ipi nini wanawakosea hawa wafanyakazi wao sjui ni mshahara sijui ni ubaguzi ama?
 
Aiseeee!! Huyu mwanadada alikua
Ameft sana pale kwny planet bongo,
Alikua anaipatia vzr sana akiwa
Na,dulla lakin nmeshaangaa

Juz naskiliza tena online mara
Nakutana na jamaa mwingne
Cjui ndo anaitwa junior jr,
Anaboa kichz kwenye hicho
Kipind

Cjui Ipp nn wanawakosea hawa wafanya
Kaz wao cjui n mshara cjui n ubaguz
Ama
Ukiona mtangazaji au dj anadumu EA RADIO AU EATV basi ujue si mtangazaji au dj bora,kama walivyo wakina Dullah na Sammisago hawana soko kwingine na wala hakuna anaewahitaji. Watangazaji wasioweza hata kuyavutia makampuni mengi kutangaza kwao.
 
Kuna Anna Peter Mallya ITV ktk kipindi cha waliopotea....anaweza kuwa yeye.????

Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Ukiona mtangazaji au dj anadumu EA RADIO AU EATV basi ujue si mtangazaji au dj bora,kama walivyo wakina Dullah na Sammisago hawana soko kwingine na wala hakuna anaewahitaji. Watangazaji wasioweza hata kuyavutia makampuni mengi kutangaza kwao.
Aiseeeee!!! Dulla na,sam
Naona,n kama mshahara wao
Unakuaga juuu maana

Hao wakiondoka ndo bhas
Tena na hyo radio inakufa
 
Ukiona mtangazaji au dj anadumu EA RADIO AU EATV basi ujue si mtangazaji au dj bora,kama walivyo wakina Dullah na Sammisago hawana soko kwingine na wala hakuna anaewahitaji. Watangazaji wasioweza hata kuyavutia makampuni mengi kutangaza kwao.
Kifesi mbona umekomaa sana na kina Misago? Au ndo wamezifungia nyimbo za wcb zisipigwe?

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Aiseeee! Huyu mwanadada alikua amefit sana pale kwenye planet bongo, alikuwa anaipatia vizuri sana akiwa na Dulla lakini nimeshangaa Juzi nasikiliza tena online mara nakutana na jamaa mwingne sijui ndo anaitwa Junior jr, anaboa kichizi kwenye hicho kipindi sijui ipi nini wanawakosea hawa wafanyakazi wao sjui ni mshahara sijui ni ubaguzi ama?
We sio mfuatiliaji mzuri wa PB ndio maana unasema hivo japo umeweza kueleza unavyoweza..junio jr anakinukisha vibaya mno kuliko hata huyo aliyesepa ...
Na hiyo redio haifanyagi makosa katika watangazaji
 
Kifesi mbona umekomaa sana na kina Misago? Au ndo wamezifungia nyimbo za wcb zisipigwe?

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
natoa maoni yangu tu wala sio sababu hiyo,mbona ni siku nyingi sana hawako vizuri na wcb.
 
Kuna Jamaa m1 yupo hapo EA Radio mda mwingi anasema "Woza,woza,woza "

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom