Yuko wapi Amiry Maftaha?

Yuko wapi Amiry Maftaha?

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
Kwa anayefahamu naomba anijuze aliko mchezaji huyu.
 
Yupo Kitaa na Hufanya Mazoezi na Ashanti na Timu Kadhaa Jijini ila Nimesikia Kuna Uwezekano Msimu Ujao Akarudishwa Kundini Kwa Sisi Wana MAMBUMBUMBU..........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ahsante mkuu, nilihisi anapiga soka huko Arabuni
 
Kwa anayefahamu naomba anijuze aliko mchezaji huyu.

Yupo yupo tu. Anakula mshahara wa kuuza mechi kwa kuchukua hela ya timu pinzani. Mwisho akaenda hiyo timu yenyewe. Ukweli watamtumia lakini ni dhahiri walikuwa hawamthamini. Walijua hata wao angewasaliti siku ya siku. Tamati yake ni kucheza ndondo. Wachezaji wenye akili wamejifunza kitu hapo
 
Sidhani kama lilikuwa na ukweli hili.
 
Yupo yupo tu. Anakula mshahara wa kuuza mechi kwa kuchukua hela ya timu pinzani. Mwisho akaenda hiyo timu yenyewe. Ukweli watamtumia lakini ni dhahiri walikuwa hawamthamini. Walijua hata wao angewasaliti siku ya siku. Tamati yake ni kucheza ndondo. Wachezaji wenye akili wamejifunza kitu hapo
Du......naikumbuka sana ile mechi
 
Yupo yupo tu. Anakula mshahara wa kuuza mechi kwa kuchukua hela ya timu pinzani. Mwisho akaenda hiyo timu yenyewe. Ukweli watamtumia lakini ni dhahiri walikuwa hawamthamini. Walijua hata wao angewasaliti siku ya siku. Tamati yake ni kucheza ndondo. Wachezaji wenye akili wamejifunza kitu hapo
Soka la bongo bhana,full majungu.
 
Nimemuona leo pale Karume, anaonekana rough sana au kachoka kweli. Sijui kwa nini wachezaji wetu hawajitunzi na hawapendi kuwa na mwonekano mzuri ambao unaweza kuwahamasisha hata wachezaji wachanga kutamani maisha yao.Ukiambiwa huyu ni mchezaji aliyechezea timu ya timu kubwa hapa Tz na Taifa Stars kwa zaidi ya miaka 5 huwezi kubali.
 
Jamaa alikuwa beki kisiki kweli kweli akiwa Jangwani but alikuwa siku yanga ikicheza na simba lazima asababishe penati..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom