Yuko wapi Afande Ernest Mangu (IGP Mstaafu)

Yuko wapi Afande Ernest Mangu (IGP Mstaafu)

Anareport makao makuu hapo,full kusoma magazeti siku inaisha anarudi home.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Yuko jela hujui?

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
He has my respect for being a true profesional. He will go in history as the perfect Gentleman who upheld the rule of law and ensure people and their properties are safe.
 
Aliomba radhi kwa Waandishi wa habar waliokamatwa kimakosa Arusha

Angejua angekaza Kama alivyokaza Makonda
Nakumbuka lile tukio la Polisi kuwakamata waandishi wa habari pasipo sababu za msingi na IGP huyo mstaafu kuamua kuwaomba msamaha waandishi hao wa habari kwa kitendo hicho........

Kumbe likaonekana ni "kosa" kubwa sana kwa Bosi wake ambapo alistahili kutumbuliwa!
 
ANASOMA MAGAZETI PALE CENTRAL, IKIFIKA MIDA YA JIONI ANARUDI HOME.

MSHAHARA ANAKULA.

HAPO MPAKA ASTAAFU., YANI HAFANYI KAZ ILA MSHAHARA UNATEMA.

USISAHAU WAKURUGENZ WANAOSUBIRI KUPANGIWA KAZI ZINGNE.
YUPO NYUMBANI NA KUTOKANA NA VILE ALIHUJUMU PESA YUKO UNDER SUPERVISION NA HARUHUSIWI KUSAFIRI NJE,YAAN JAMAA YUKO KAMA KIFUNGONI VILE NA LAST FEW WEEKS ALITIMSHWA KWENYE NYUMBA ALIYOKUWA ANAISHI,ANAISH MAISHA MAGUMU SANA THOUGH ANAPOKEA MSHAHARA AS USUAL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wanaopangiwa kazi ingine huwa wanakaa benchi kati miezi 6 hadi mwaka na wanalipwa mafao yao yote.....na kuombwa kupumzika...!! Ipo siku Mangu ataandika barua kuomba kupumzika....itakubaliwa na ataenda kuagwa rasmi kurasini....atalipw pensheni yake Atarudi uraiani!!! Ninaamini Mwema hatamtupa mshikaji wake kikazi....atamualika wazuge wote kwenye ki ofisi chao hapo town....Kova mjanja maana alikuwa mswahili na corrupt na mwanasiasa....alishajichanganya na waanya biashara ameanzisha NGO yake pia ana share kwenye hizi security companies zinazoanzoshwa kila uchwao......!!


ANASOMA MAGAZETI PALE CENTRAL, IKIFIKA MIDA YA JIONI ANARUDI HOME.

MSHAHARA ANAKULA.

HAPO MPAKA ASTAAFU., YANI HAFANYI KAZ ILA MSHAHARA UNATEMA.

USISAHAU WAKURUGENZ WANAOSUBIRI KUPANGIWA KAZI ZINGNE.
 
Anareport makao makuu hapo,full kusoma magazeti siku inaisha anarudi home.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
km mshahara wake unaingia shida iko wapi?

mwache asome magazeti awezavyo, kwanza kapunguziwa mengi

unafikiri hiyo nafasi niya kispoti spoti?
 
Kwanini hakupangiwa kazi nyingine?? Muulize anaye wapangia kazi au kama unaweza MSHURUTISHE ampangie vinginevyo humu JF itakuwa vigumu kujua kwanini hakupangiwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom