Ndugu yangu mistari ya hisia,vina,lugha za kitaa huku maisha halisi ya mtaani yakiwakilishwa hayapendwi na kizazi hiki cha Mugulo chini ya baba Mwanaasha!!!
Watu wameamua kuachana na Hip hop bness na kufanya maisha mengine Kihip hop!!! e.g Mapacha wamehamishia graphics kwenye Tshits n.k