Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 270
Wapendwa za asubuhi,
Kuna mama mmoja ni rafiki yangu kaniomba mchango wangu,ana Binti yake. Tumpe jina (Isha)ambaye ni mwalimu wa sekondari huko mkoani katika pitapita zake wakatokea kupendana na mwalimu mwenzake FRED lakini wa shule tofauti,ila yule mwenzie Fred ni mdogo kuliko Isha miaka mitatu nyuma ,isha amekua akimfuatilia Fred kwa kariBu ni mkarimu na anamjali ana roho nzuri,ila wakienda sehemu Fred lazima abaki nyuma lakini nyumBani ni mtu mzuri,akakutana na baba mmoja akamwambia mi nimekufatilieni sana na huyo mwenzako ila niamini ctaki kukuchezea nilishazunguka na ulimwengu hamna ambacho nisichokijua ntakupenda ntakujengea nyumba kwa sabaBu huyo baba ana watoto wake na Isha amekiri kweli anadeka kama mtoto kwa huyo Baba ,ila kinachomuuma Ni kuachana na fred ambaye isha anadai ni mkarimu na ana roho nzuri,afanye nini naombe utoe mchango wako