Amekuwa kimya sana kila nikimpigia hapatikani,mwenye taarifa zake atupatie au ampe taarifa tunataka kujua yale mafaili yetu ya zile kesi alizofungua yamefikia wapi...
Muovu wao ameshakufa na kuzikwa huko Chato mabatini, hawana haja ya kuendelea na hizo kesi. Now wanakula kuku kwa mrija huku wakidemka na utawala shupavu wa Mama.