Mkuu umenikumbusha wimbo wa wana Kirumba kipindi cha kampeni za udiwani....walikuwa wanaimba hivi kuhusu Jack Masamaki..."Masamaki yameoza..."Na kweli jamaa kwishaaaaaa.Chezea CDM weye.
Wiki mbili zilizopita nilikutana naye pale Regency Hotel Mikocheni/Msasani akiwa na Lau Masha, Makalla na wenzao wakipiga maji kama hawana akili! Walikuwa na Totoz pembeni yao, nadhani wale walikuwa mamiss!
Kama na Muona Mzee wa Hapo,Hapo,Hapo Vipi?usifanye mchezo na 3bil ingekuwa mtu wa kawaida mpaka kucha zinakufa ganzi!Ebo!Jamaa yupo kwenye jimbo lake la kawe alikojiandikishia!
Keshatumika na CCM hawana haja naye tena, he is a rubber stamp!!! Mnamkumbuka Nakaaya naye alivyojidai kurudisha Kadi ya CDM ati mwana mpotevu karudi nyumbani CCM na kupikelewa na rais, leo yuko wapi??? Chezea CCM weye????
Wiki mbili zilizopita nilikutana naye pale Regency Hotel Mikocheni/Msasani akiwa na Lau Masha, Makalla na wenzao wakipiga maji kama hawana akili! Walikuwa na Totoz pembeni yao, nadhani wale walikuwa mamiss!
We unamuweka wasira akukampeni unategemea nini?.....eti watz wampe kura ili kumfariji?.....namuuliza sioi km wasira na mkapa sio wanafiki baaday ya kuona umeshindwa wamekuja mara ngapi kukuwezesha ili kukufuta machozi..........zaidi nikuwa chama kimeoza na utaozea humo humo km unafikiri wanafiki km mkapa na wasira au lusinde watakuja kukusapoti.....labda kwa kuwa kikwete ni swahiba wa mkweo basi ni rahisi hata kupewa ukuu wa wilaya