Mani zimepita siku kadhaa sasa huyu mwanadada maarufu kwa kufanya interviews na wasanii haonekani luningani..Je ameacha kazi? yuko likizo au imekuwaje? si vibaya tukajua alipo kwani ni maarufu kwa nafasi yake.
Ana mimba kubwa sana ukimuona huwezi kumtamani wala kumjua kama ndio yule sauda cheupe wa kujikoboa kama maimatha rafiki yake. hawezi kurudi runingani hadi akajifungue nahisi inaweza kuwa baada ya miezi mitano hivi toka sasa
Kweli wakuu yuko zenji tulimuona juzi na lijamaa nafikiri ndo mumewe. Ila ucku nilipishana nao aisee ni noma yaani Saida kavaa nguo aibu tupu kama changu vile hadi nikajiuliza inakuwaje mtu unaruhusu mwanamke wako atembee uchi
Ni kihiyo sana yule Sauda,elimu ya kuunga unga ndo maana ukiangalia kwa makini interviews zake hazijawahi kuwa na mashiko sana,ni ule ulimbukeni tulionao wengi wa kumzimia mtu kisa anaonekana kwenye tv!