Habarini za leo wanaJF,naona weekend ndo imeanza,japo haitofautiani sana na siku za katikati ya wiki-mifuko kutoboka!
Prof Mark Mwandosya ni miongoni mwa makada wasomi wa siku nyingi ndani ya chama tawala, Chama Cha Mapinduzi - CCM!
Amewahi kugombea nafasi ya Urais mara mbili ndani ya chama chake pamoja na kwamba amekuwa akikatwa!
Toka Rais Magufuli aingie madarakani, na hata tu kwenye kampeni zake za mwaka jana 2015,Proffesor huyu ni kama ameasi wenzie,amezira sijui...kwani amekuwa mkimya sana.
Mwenye taarifa za alipo Prof Mwandosya naomba atujuze..