Yu Wapi Mzee Ndesamburo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yu Wapi Mzee Ndesamburo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kadogoo, Sep 18, 2012.

 1. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tangu kikao cha bunge la bajeti kianze hadi mwisho huyu Mzee sikumuona wala kumsikia! jee, nani mwenye habari za mheshimiwa huyu mbunge wa moshi mjini na muasisi wa CDM? jee, cdm watampitisha tena kugombea ubunge 2015 au wanae candidate mpya?

  Kazi alizofanya mzee huyu ni za kupongezwa!
   
 2. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Ujifunze ku google..jana tu vyombo vingi vya habari vimereport kwamba katua uingereza..kama unaweza kuingia JF utashindwaje kugoogle?
   
 3. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  AAA mimi nimeuliza tu! tena kwa nia nzuri tu usinielewe vibaya ndugu, ila ningependa kujua hali ya afya ya mzee wetu, jee anaendeleaje huko Uingereza?
   
 4. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yuko poa kamiligado hana hata mafua, ila kuhusu kugombea tena sidhani kama atafanya hivyo.
   
 5. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yuko poa kamiligado hana hata mafua, ila kuhusu kugombea tena sidhani kama atafanya hivyo.
  Mpaka sasa aliyetangaza kugombea kwa tiketi ya CHADEMA ni Meya wa MOSHI, Bw. Jaffar
   
 6. calculator

  calculator JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Acha umbea. Mind your business.
   
 7. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  [h=1]"Wise men never argue with fools, because people from a distance can't tell who is who"?[/h]
   
 8. unknown animal

  unknown animal JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  katua hajatua uingereza ts none of ur business,cha muhimu km anatekeleza majukumu yake ni amani tu
   
Loading...