Octoba sitiki
Member
- Jul 15, 2025
- 20
- 31
Nmejikuta leo namkumbuka uyu mwanadada ambae alitokea kujizolea umaarufu sana kipindi kile Mjomba katuacha bila kutuaga!!
Kuna yoyote mwenye taarifa zake?
Alafu vp me naona kama yupo hai ingekuwa poa kama balozi akiungana nae wakapiga combination moja nna Imani watasepa na kijiji Chao!
Ndio Nani huyo?Huwa ana post mara moja moja Facebook lakini mara nyingi ni za ulokole, ameumizwa sana na kifo cha Magu.
Nmejikuta leo namkumbuka uyu mwanadada ambae alitokea kujizolea umaarufu sana kipindi kile Mjomba katuacha bila kutuaga!!
Kuna yoyote mwenye taarifa zake?
Alafu vp me naona kama yupo hai ingekuwa poa kama balozi akiungana nae wakapiga combination moja nna Imani watasepa na kijiji Chao!
Huwa ana post mara moja moja Facebook lakini mara nyingi ni za ulokole, ameumizwa sana na kifo cha Magu.
Au ndiyo huyu Polepole?Ndio Nani huyo?
Alikuwa ni kijana wa kiume huku akitumia jina la kike.Nmejikuta leo namkumbuka uyu mwanadada ambae alitokea kujizolea umaarufu sana kipindi kile Mjomba katuacha bila kutuaga!!
Kuna yoyote mwenye taarifa zake?
Alafu vp me naona kama yupo hai ingekuwa poa kama balozi akiungana nae wakapiga combination moja nna Imani watasepa na kijiji Chao!
🤔🙄👀Alikuwa ni kijana wa kiume huku akitumia jina la kike.
Walikuja kumdaka alijuta.