mbona kamera yangu ya tega uone imempata akiwa katikati ya jiji juzi tena akiwa katika hali ya kawaida kabisa, bila msafara bila mbwembwe anapiga window shopping tu.
Jana yenyewe alikuwa uswahilini kabisa akiwapa nauli kinamama kibao waliokuwa wakielekea viwanja vya zakheem mbagala kwa ajili ya maandamano ya siku ya wanawake. sasa wewe hujamwona wapi huko? Au kwenye tukio la jana la kutoa nauli ulitaka auze sura?
Mi naona utafute picha yake ubandike bed room kwako usijepata presha kwa kummisss!!!!
Jamani wana JF naomba kuuliza,yu wapi First Lady mama Salma Kikwete?.Siku hizi simsikii kabisa na hata jana kwenye maadhimisho ya miaka mia moja ya siku ya wanawake duniani sijamsikia.
Tatizo ni nini au ndoa imeingia mushkeri?Wenye taarifa zake naomba mtujulishe.

madam yuko safari nje ya nchi anaterejea kesho saa 9 mchana