Yu wapi mh Joshua Nassary mbunge wa Arumeru mashariki?

ibrah234

New Member
Mar 22, 2017
1
0
Ndugu wapendwa wa jukwaa hili asalam aleykum,

Ninaomba kwa yoyote anayejua alipo na anachofanya mh Joshua Nassary anifahamishe kwani nimejitahidi sana kujua alipo na anachofanya kama kiongozi wangu ila sijafanikiwa.
 
Anasoma UK,Na katoa Taarifa za msiba wa mbunge viti maalum wa Arumeru anayewakilisha walemavu Dr Macha.
 
ndugu wapendwa wa jukwaa hili asalam aleykum!
ninaomba kwa yoyote anayejua alipo na anachofanya mh joshua nassary anifahamishe kwani nimejitahidi sana kujua alipo na anachofanya kama kiongozi wangu ila sijafanikiwa
Nenda Ji mboni kwake
 
Ndugu wapendwa wa jukwaa hili asalam aleykum,

Ninaomba kwa yoyote anayejua alipo na anachofanya mh Joshua Nassary anifahamishe kwani nimejitahidi sana kujua alipo na anachofanya kama kiongozi wangu ila sijafanikiwa.
Yuko uingereza jana alikiwa na balozi wetu pale Dr Asha Roze Migiro una shida naye???
 
Back
Top Bottom