Yu wapi mama Janeth Magufuli?

Yu wapi mama Janeth Magufuli?

Ni takribani wiki moja tangu Rais Magufuli atue Chato kwa mapumziko. Katika kipindi hiko hatujamuona mama Janeth. Rais Kenyatta ameenda Chato, mama Janeth hajaonekana. Leo tumezindua mbuga, mama Janeth hajaonekana. Je mama Janeth ni yu wapi?
Haujui kuwa shule ndiyokwanza zimefungua! Nenda darasani kwake utamkuta.
 
Back
Top Bottom