Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,478
By Shari MartinWimbo mzuri sana huu.
Kuna mwingine uliitwa "Rafiki Pesa" sikumbuki aliimba nani, ulikua na ujumbe mzuri sana.
Mwamakulitafuta mwanakulipata na safari hii sio ununio daraja la MKAPA.Kwa wale wahenga kidogo wa miaka ya 1990 wanamkumbuka Pastor Munishi aliyeimba wimbo maarufu sana unaoitwa Malebo. Najua Jf ni kisima cha watu walioko maeneo mbali mbali. Hivi huyu MALEBO aliyeimbwa katika wimbo huu bado yuko hai? Na kama yuko hai yupo wapi kwa sasa?
View attachment 1457188
Asante sana, niliupenda mnoBy Shari Martin
Aliimba pia wimbo maarufu "Christmas ... everybody sing, ndege wanafurahia hahaha, ni mnyama wa amani ..."
😍wowWimbo mzuri sana huu.
Kuna mwingine uliitwa "Rafiki Pesa" sikumbuki aliimba nani, ulikua na ujumbe mzuri sana.
😂basi ndio maana alikuja kuimba malebo kaokoka na havuti tena bangiYeye ndio malebo mwenyewe,kwa mujibu wa simulizi za mtaani.
Kwenye amri 10 sijaiona inayosema "usivute bangi" sasa linakua kosa gani kiimani ukivuta bangi👽 kiasi kwamba kuacha inakua wokovu?😂basi ndio maana alikuja kuimba malebo kaokoka na havuti tena bangi
Hivi huyo Malebo alikua ni mtu kweli kumbe😍wow
pia ,malebo aliokoka na mchungaji Munishi aliimba nyimbo ya kuleta mrejesho bahati mbaya nimeisahau jina
Mkuu kwa mujibu wa mchungaji huyo katika nyimbo yake,Bangi ilienda sambamba na matendo ya ajabu ya malebo yani ilimpeleka kubayaKwenye amri 10 sijaiona inayosema "usivute bangi" sasa linakua kosa gani kiimani ukivuta bangi👽 kiasi kwamba kuacha inakua wokovu?
Ndio watu husema alikuwa ni mtu kabisa na alisoma na huyo Muimbaji shule moja na walicheza pamoja kama nyimbo inavosemaHivi huyo Malebo alikua ni mtu kweli kumbe
Sio yeye ndio alikua anaenda kubaya?Mkuu kwa mujibu wa mchungaji huyo katika nyimbo yake,Bangi ilienda sambamba na matendo ya ajabu ya malebo yani ilimpeleka kubaya
Tumkumbushe alipe kile alichowaibia wale ndugu zako "Wazaire",Maana waliahidi wakimuona macho/meno yake watayatoa.😍wow
pia ,malebo aliokoka na mchungaji Munishi aliimba nyimbo ya kuleta mrejesho bahati mbaya nimeisahau jina